Kwani wapi pameandikwa kuwa urais ni kupokezana kati ya Bara na Zanzibar?
Mi nadhani anayetafutwa ni yule mwenye sifa bila kujali ametoka wapi, kwa kuwa
Tanzania ni moja tu...
Kwani wapi pameandikwa kuwa urais ni kupokezana kati ya Bara na Zanzibar?
Mi nadhani anayetafutwa ni yule mwenye sifa bila kujali ametoka wapi, kwa kuwa
Tanzania ni moja tu...
ndivyo inavyotakiwa mkuu,lakini bila kupepesa macho urais wa tanzania ni wa kupokezana kati ya wakristo na waislam..very bad lakini huo ndio ukweli wenyewe subiri 2015 uone.
mkuu,
hiyo document halisi inapatikana wapi? au japo kivuli cha hiyo doc. halisi.tudokeze ili tuifatilie. au kama unayo mdondoshee invinsible atufanyie kweli.
Itasaidia sana katika ku/solve some of the Union mysteries.
.wananchi wa Zanzibar hawafiki hata idadi ya wananchi wa wilaya ya Kinodoni!!hivi ni vituko show!! Watu mlionioni 45 kupelekeshwa name with milioni 1.5.umakamu unatosha yakhe