Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

Kwani wapi pameandikwa kuwa urais ni kupokezana kati ya Bara na Zanzibar?
Mi nadhani anayetafutwa ni yule mwenye sifa bila kujali ametoka wapi, kwa kuwa
Tanzania ni moja tu...
 
Kwani wapi pameandikwa kuwa urais ni kupokezana kati ya Bara na Zanzibar?
Mi nadhani anayetafutwa ni yule mwenye sifa bila kujali ametoka wapi, kwa kuwa
Tanzania ni moja tu...

ndivyo inavyotakiwa mkuu,lakini bila kupepesa macho urais wa tanzania ni wa kupokezana kati ya wakristo na waislam..very bad lakini huo ndio ukweli wenyewe subiri 2015 uone.
 
Haitajalisha ni vipi,muislam ama mkristo rais anatakiwa kutoka znz.Jamani ikumbukwe Znz nayo ni nchi hivo inamamlaka ya kutoa rais katika muungano!
 
Tuache kuwa fikra finyu tusiangalie ubara na umaji tujali uwezo wa kuongaza bac. Tusimchague mtu akaharibu kama huyu wa sasa
 
Kama Rais akitoka Zanzibar,itakuwa rahisi kwa nchi yetu Tanganyika kuzaliwa!

Mungu ibariki Tanganyika!
 
mkuu,
hiyo document halisi inapatikana wapi? au japo kivuli cha hiyo doc. halisi.tudokeze ili tuifatilie. au kama unayo mdondoshee invinsible atufanyie kweli.
Itasaidia sana katika ku/solve some of the Union mysteries.

Dr. Shein amesema anao lakini atakaetaka kuuona aende UN. Suali kwanini mtu aende mbali Mpaka UN wakati Dr. Shein anao?
 
Kama suala ni Mkristo basi hata Zenj yupo, Mheshimiwa Cosmas Mabumba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Rais atayekuja lazima atoke Zanzibar tumeshavumila sana mkapa (bara), kikwete (bara) anaefuata lazima atoke upande wa pili wa muungano,
.wananchi wa Zanzibar hawafiki hata idadi ya wananchi wa wilaya ya Kinodoni!!hivi ni vituko show!! Watu mlionioni 45 kupelekeshwa name with milioni 1.5.umakamu unatosha yakhe
 
Inashangaza unapost uzi leo kuhusu urais Zanzibar halaf unaunganishwa na uz wa mwaka 2010 hivi kweli is't fair wana jamvi?




Mmmmmh hili jukwaa kaz ipo
 
Zanzibar kutoa rais wa muungano wasubiri labda hadi 2025 kama bado kutakuwa na muungano vinginevyo ndiyo imetoka hawatatoa milele quote my words.
Siasa zinabadilika wakati wowote
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom