Zambia yafungua mpaka na Tanzania

Zambia yafungua mpaka na Tanzania

😂😂😂😂😂 mie si wa kutafuniwa taahira wewe. Wapi nilipoandika kuhusu kufa HOVYO?

Weka namba kuthibitisha kauli ya ugonjwa kupungua vinginevyo ficha ujinga wako wa kuamini, “Mungu kasikiliza sala zetu”


Uspanic mkuu, Unataka utafuniwe kila kitu, jiongeze mkuu ila jua tu wagonjwa wa covid19 wamepungua sana na sasa michezo na vyuo ni ruksa. Pole sana kama ulitegemea tutakufa hovyo, kumbuka kupiga nyungu, tangawizi na limao, hicho ndicho Mungu ametupa Wanadamu kwasasa.
 
Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Tanzania na ndiyo chanzo cha hawa wahuni kuichezea nchi kwa miaka 60 sasa kwa sababu wanajua kuna wapumbavu tosha wa kuunga mkono kila UPUUZI wao.

Pole sana mkuu, hatutoi takwimu mkuu ukijisikia mafua piga nyungu tu au la jilockdown.
 
Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Tanzania na ndiyo chanzo cha hawa wahuni kuichezea nchi kwa miaka 60 sasa kwa sababu wanajua kuna wapumbavu tosha wa kuunga mkono kila UPUUZI wao.
Umekosa hoja mkuu? Kwaufupi tuache siasa kwenye mambo ya wazi, wagonjwa wa Corona hospitalini wamepungua sana, acha kupofushwa na siasa ndugu.
 
Unakwepaje daladala

Mimi sio mtu wa misongamano lakini hili la daladala nimefeli

Mnajiona wa maana sana kututishatisha kwani nani amebisha gonjwa halipo?

Tumeamua kuzoea kuishi nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 Wewe MPUUZI kweli wewe UZIKATEA TAKWIMU kuwekwa hadharani halafu mimi ndiyo NIMEKOSA HOJA! 😂😂

Kwanini hii Serikali inayosema UONGO ilishindwa KUWASHAWISHI balozi za USA 🇺🇸 na UK 🇬🇧 kwamba wagonjwa wamepungua sana hivyo hakuna sababu ya KUWAONDOA raia wao? Bali IKAJIKAUSHA kimya kama haipo?

Ulivyo MPUMBAVU mwanao anaweza kurudi shule bila RIPOTI na kukudanganya kwamba walimu wa kila somo wamesema AMEPASI na mpumbavu wewe ukaamini bila ya kuiona RIPOTI.

Umekosa hoja mkuu? Kwaufupi tuache siasa kwenye mambo ya wazi, wagonjwa wa Corona hospitalini wamepungua sana, acha kupofushwa na siasa ndugu.
 
May 22, 2020
Lusaka, Zambia

NATIONAL ADDRESS BY HIS EXCELLENCY PRESIDENT EDGAR C. LUNGU



Source : ZNBC Today
 
Wabunge wangapi wamekufa kwa kipindi kifupi? Mazishi ya usiku kwanini wafiwa WALAZIMISHWE kuzika usiku? Kwanini balozi za USA 🇺🇸 na UK 🇬🇧 ziondoe raia wao ili kuwaepusha na covid huku wakisema hospitali za Tanzania zimeelemewa na Serikali kupiga kimya!? TAFAKARI kwa kina Mkuu.
Sisi ndio tunaishi mitaani, misiba hatuioni wala hatuoni majirani waliofiwa
Huwezi fiwa then ukae kimya
wabunge 3 tu hao siku zao zilikuwa zimefika
 
Huyu VP naye anasema UONGO. Kwanini HAJATUMBULIWA?



Sisi ndio tunaishi mitaani, misiba hatuioni wala hatuoni majirani waliofiwa
Huwezi fiwa then ukae kimya
wabunge 3 tu hao siku zao zilikuwa zimefika
 
Rais wa Zambia Edger Lungu akihutubia Taifa Jioni hii tarehe 22/5 amefungua rasmi mpaka na Tanzania na kuruhusu wananchi kuendelea na shughuli zao kama kawaida.

Rais Lungu amesema wananchi waendelee na shughuli zao huku wakifuata maoni na ushauri wa wataalamu.

Ukumbukwe Zambia ilifunga mpaka wake na Tanzania toka tarehe 10/5, huku wilaya ya Nakonde ikipigwa lockdown.

Mabasi na magari yote ya abiria hayakuruhusia kuingia Nakonde Wala kutoka, ni malori ya trust tu ndio yaliyoruhusiwa nayo kwa utaratibu maalumu.
Mkuu nikija hapo Tunduma ntakutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wangapi wamekufa kwa kipindi kifupi? Mazishi ya usiku kwanini wafiwa WALAZIMISHWE kuzika usiku? Kwanini balozi za USA [emoji631] na UK [emoji636] ziondoe raia wao ili kuwaepusha na covid huku wakisema hospitali za Tanzania zimeelemewa na Serikali kupiga kimya!? TAFAKARI kwa kina Mkuu.
Tanzania nayo imeondoa raia wake India na UAE hapo vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom