Zambia yafungua mpaka na Tanzania

Zambia yafungua mpaka na Tanzania

Yeye amejuaje hayo.

Cheo cha urais kinawezesha kuwa na uweze wa kujua ugonjwa utakuwepo kwa muda gani?

Amefanya utafiti na kuona kwamba hautakwisha au hapataweza kuwepo njia ya kuuondoa kabisa?
Ni kupitia rejea za shirika la afya duniani WHO wamesema huu ugonjwa upo upo sana na kwamba chanjo yake huenda ikapatikana mwishoni mwa mwaka ama mwanzoni 2021.

Siungi Mkono baadhi ya hatua za Magufuli kuhusu huu ugonjwa ila kwa kiasi kiasi kikubwa namuunga Mkono.

Dunia inaelekea kuuchoka huu ugonjwa japo haina uwezo wa kuutokomeza.

Mkuu dunia ifanyeje kwenye ugonjwa ambao hauna nchanzo, hasa kwa nchi zetu hizi maskini.?
 
May 22, 2020
National Address By President Edgar Lungu On Covid-19

17: 36' country men and women, Nakonde business activities and in other provinces will be allowed to flow as normal while observing health guidelines. Covid -19 is no longer pandemic it is an epidemic so we should learn to live with it. Covid -19 has transform ourlives in term of maintaining and adherence to handwashing and social distancing measures
Source : Zambian Portal
 
Mbowe na Zitto wako wapi watoe tamko la kupinga?
Huyu mbowe alitaka lockdown ili awe anawapiga miti miti wabunge wa viti maalumu, Leo nimestaajabu sana kusikia sauti ya mbunge wa viti maalumu akimtuhumu Mbowe kwa kuwanyanyasa wabunge wa kike kingono,huyu Mbowe bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wangapi wamekufa kwa kipindi kifupi? Mazishi ya usiku kwanini wafiwa WALAZIMISHWE kuzika usiku? Kwanini balozi za USA 🇺🇸 na UK 🇬🇧 ziondoe raia wao ili kuwaepusha na covid huku wakisema hospitali za Tanzania zimeelemewa na Serikali kupiga kimya!? TAFAKARI kwa kina Mkuu.
Videos: UK hospital converted for COVID-19, nurses have panic attacks ...
uk hospitals overwhelmed corona from www.businessinsider.com

7 Apr 2020 · The UK health system is so overwhelmed that a hospital is converting all its theaters for coronavirus patients ...
 
Rais wa Zambia Edger Lungu akihutubia Taifa Jioni hii tarehe 22/5 amefungua rasmi mpaka na Tanzania na kuruhusu wananchi kuendelea na shughuli zao kama kawaida.

Rais Lungu amesema wananchi waendelee na shughuli zao huku wakifuata maoni na ushauri wa wataalamu.

Ukumbukwe Zambia ilifunga mpaka wake na Tanzania toka tarehe 10/5, huku wilaya ya Nakonde ikipigwa lockdown.

Mabasi na magari yote ya abiria hayakuruhusia kuingia Nakonde Wala kutoka, ni malori ya trust tu ndio yaliyoruhusiwa nayo kwa utaratibu maalumu.
Weka habari yako sawa kwenye aya mbili za mwisho
 
Ni kupitia rejea za shirika la afya duniani WHO wamesema huu ugonjwa upo upo sana na kwamba chanjo yake huenda ikapatikana mwishoni mwa mwaka ama mwanzoni 2021.

Siungi Mkono baadhi ya hatua za Magufuli kuhusu huu ugonjwa ila kwa kiasi kiasi kikubwa namuunga Mkono.

Dunia inaelekea kuuchoka huu ugonjwa japo haina uwezo wa kuutokomeza.

Mkuu dunia ifanyeje kwenye ugonjwa ambao hauna nchanzo, hasa kwa nchi zetu hizi maskini.?
Sasa hivi anakubaliana na wanayosema WHO? Sio hao wanaoshiriki katika kutulitea vipimo feki na barakoa zenye sum/coronavirus?
Au nachanganya, maana mambo yamekuwa mengi mno toka kwake!

Kuna 'mjomba wake coronavirus huyu alishajitokeza huko nyuma, sikumbuki mwaka, lakini sio zamani sana, nadhani 2012 kama sikosei,akasababisha SARS (Severe Acute Respiratory Syndrome), watu wakataharuki! Alivyopotea bado haijulikani. Kuna mwingine pia MEIRs, nadhani katika kundi hilo hilo, naye kapotea!

Kwa hiyo ni bado mapema kujua hatma ya huyu; pamoja na kwamba ni dokezo la WHO.

Nina imani sana na sayansi inavyokwenda katika miaka hii.
Sisi tumeipa kisogo, na wala hatuitilii maanani sana, na badala yake tunahimiza 'kujifukiza'.

Nina imani huyu atapata mbabe wake toka maabara muda si mrefu sana, kama asipoamua kupotea mwenyewe.

Amekwishaonyesha udhaifu mwingi kuwa hana nguvu ya kuendelea kuitikisa dunia kwa muda mrefu.
 
Wabunge wangapi wamekufa kwa kipindi kifupi? Mazishi ya usiku kwanini wafiwa WALAZIMISHWE kuzika usiku? Kwanini balozi za USA 🇺🇸 na UK 🇬🇧 ziondoe raia wao ili kuwaepusha na covid huku wakisema hospitali za Tanzania zimeelemewa na Serikali kupiga kimya!? TAFAKARI kwa kina Mkuu.
Kumbe watu wameruhusiwa kuzika ndugu lakini usiku?😳
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Afrika lingekuwa bara la ajabu sana kama hali hii ingeendelea,basi ule ushahidi kuwa kiyama kingeanzia Afrika ungetimia.
 
Weka habari yako sawa kwenye aya mbili za mwisho
Wapi hujaelewa mkuu.?

Ni kwamba Wilaya ya Nakonde ambayo ndio imepakana na Tunduma ndio ilipigwa lockdown wananchi wake walifungiwa toka tarehe 10/5.

Yaani mabasi ya kutoka sehemu zingine ndani ya Zambia hususani Lusaka,Kitwe, Ndola hayakurusiwa kuja Nakonde Wala ya Nakonde kwenda huko.

Ila huko kwingine shughuli zilikuwa zinaendelea kama kawaida.!
 
Sasa hivi anakubaliana na wanayosema WHO? Sio hao wanaoshiriki katika kutulitea vipimo feki na barakoa zenye sum/coronavirus?
Au nachanganya, maana mambo yamekuwa mengi mno toka kwake!

Kuna 'mjomba wake coronavirus huyu alishajitokeza huko nyuma, sikumbuki mwaka, lakini sio zamani sana, nadhani 2012 kama sikosei,akasababisha SARS (Severe Acute Respiratory Syndrome), watu wakataharuki! Alivyopotea bado haijulikani. Kuna mwingine pia MEIRs, nadhani katika kundi hilo hilo, naye kapotea!

Kwa hiyo ni bado mapema kujua hatma ya huyu; pamoja na kwamba ni dokezo la WHO.

Nina imani sana na sayansi inavyokwenda katika miaka hii.
Sisi tumeipa kisogo, na wala hatuitilii maanani sana, na badala yake tunahimiza 'kujifukiza'.

Nina imani huyu atapata mbabe wake toka maabara muda si mrefu sana, kama asipoamua kupotea mwenyewe.

Amekwishaonyesha udhaifu mwingi kuwa hana nguvu ya kuendelea kuitikisa dunia kwa muda mrefu.
Kila mmoja wetu ombi lake ni kuhakikisha chanzo inapatikana mapema kuliko kawaida.

Lakini dunia ifanyeje wakati wataalamu wapo kusugua vichwa huko kutafuta tiba je, iendelee kujifungia ndani.

Tuchukue tahadhali tuheshimu ushauri wa wataalamu.

Hatuwezi kusimamisha kila kitu kisa ugonjwa unaoua mtu mmoja kati ya watu kumi wanaoumwa.
 
Unamzibia jirani njia ukasikia ameagiza helikopta.
 
Back
Top Bottom