mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 738
- 261
Kwenye chanjo mi simo mkuu, hata kwa risasi. Chanjo ya Corona ni janga tunalolikwepa kwa kila namna.Kila mmoja wetu ombi lake ni kuhakikisha chanzo inapatikana mapema kuliko kawaida.
Lakini dunia ifanyeje wakati wataalamu wapo kusugua vichwa huko kutafuta tiba je, iendelee kujifungia ndani.
Tuchukue tahadhali tuheshimu ushauri wa wataalamu.
Hatuwezi kusimamisha kila kitu kisa ugonjwa unaoua mtu mmoja kati ya watu kumi wanaoumwa.