idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,304
- 38,476
Rais wa Zambia Edger Lungu akihutubia Taifa Jioni hii tarehe 22/5 amefungua rasmi mpaka na Tanzania na kuruhusu wananchi kuendelea na shughuli zao kama kawaida.
Rais Lungu amesema wananchi waendelee na shughuli zao huku wakifuata maoni na ushauri wa wataalamu.
Ukumbukwe Zambia ilifunga mpaka wake na Tanzania toka tarehe 10/5, huku wilaya ya Nakonde ikipigwa lockdown.
Mabasi na magari yote ya abiria hayakuruhusia kuingia Nakonde Wala kutoka, ni malori ya trust tu ndio yaliyoruhusiwa nayo kwa utaratibu maalumu.