Zambia mourns former First Lady Betty Kaunda

Salamu za Rambi rambi kwa Mwangosi labda atazitoa kwenye hotuba yake ya Mwezi....
 
Hata mchawi aliyesababisha kifo kwa marehemu huwa hapendi kuhudhuria mazishi.
Guilty mind inamtesa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kikwete Yeye ndio aliagiza polisi watumie njia ya kuua wananchi tangu mauaji yaanze kutokea sehemu mbalimbali kamchukulia hatua polisi yupi
 
Nakumbuka na ninatamani ule mchango wa rais wetu JK wa 10,000,000/= aliomtolea Kanumba (R.I.P) ambaye hakuacha mjane wala mtoto ungetolewa kipindi hiki kwa mjane na watoto wa Mwangosi (R.I.P.) bila shaka ungesaidia vitoto hivyo kusoma japo vidarasa vichache.
 
Sat, Sep 22nd, 2012

By Teonas Aswile

President of United Republic of Tanzania, Dr Jakaya Mrisho Kikwete has said Zambia and Africa have lost a brave woman who helped a lot Zambia and the whole continent during independence struggle.

President Kikwete said that in the statement released by Directorate of Presidential Communications yesterday, as the President was sending condolences to the Former President of Zambia, Keneth Kaunda following death of his beloved wife, Betty Kaunda.

Dr Kikwete said the African continent and Zambia will always remember her as a woman who participated fully in fostering Zambian development and African development at large.


"I have been saddened and shocked by the information of Betty's death happened this week in Harare, Zimbabwe, where she was visiting her daughter, Mama Musata Kaunda Banda. Her death is not only a shock to you, your family or Zambian citizens but also to all Africans."


President Kikwete said he is together with all family members and Zambians in the difficult time they face following death of Betty Kaunda.


Betty Kaunda was born in 1928, got married to Keneth Kaunda in 1946 died on Tuesday with the age of 84 years old.

 
Aliishi zaidi ya JK Nyerere... REST in PEACE Mama Kaunda...

Sasa sijui tutapanda NDEGE au Treni ya TAZARA na Tunafikiria tutamchukua Mh. ZITTO KABWE [Just a JOKE]
 
R.I.P mama wa Afrika,

Lakini JK kwa Mwangosi mbona haku-mourn??

Mwangosi ulikuwa msiba wa Dr. Slaa kinachotushangaza baada ya kumtoa kijana watu kikoa hata msiba uliwashinda kuuendesha kichama? Jitihada za Mjengwa ndizo zinazofanikisha michango kwa mjane wa marehemu; baada ya wasnii wenu wachungaji Dr. Slaa na Msigwa kupata picha za magazeti hapo ndipo yaliipoishia.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
R.I.P mama Kaunda. Dr. Kaunda pole kwa kuugua ghafla pengine kwa kutokana na kifo cha ghafla cha mke wako mpenzi.
 
Baada ya kutokea kifo cha mama Betty Kaunda mke wa rais wa kwanza wa Zambia, tokana na usafi wake kama mke wa rais, nilidhani wana JF wengi wangejitokeza lau kulijadili hili hasa usafi wake. Haikuwa!

Ingawa Betty Kaunda si maarufu kutokana na ukweli kuwa hakutumia madaraka ya mume wake kujitafutia utajiri wala umaarufu, ameacha mfano kwa kuigwa kuwa kuwa mke wa rais siyo kuwa rais wa nyuma ya pazia simply because unalala kitanda kimoja na rais kama ilivyo sasa kwenye nchi nyingi za kiafrika.
 
Crashwise, Betty hakuwa na tamaa wala upofu kiasi hicho. Wala hakuwa wa hovyo hivyo. Alikuwa mama aliyelelewa akaleleka akiwa ameolewa na mwanaume mwenye maadili siyo hawa vyangu wanaoolewa na wapiga madili badala ya maadili.
 
mkuu Father of All, vp marehemu betty hakuwa na WAMA yake na kuwapa mashost kaz wasio na sifa?alipokwenda salun hakupelekwa na vingora na kusababisha folen?
 
Last edited by a moderator:
Ciello, Betty hakuwa juha na fisi anayependa makuu. Ni mama wa kizazi cha maadili. Hakuwa changu wa kuabudia madaraka. Hakuwa na WAMA wala hakupenda kuvaa midhahabu itokanayo na pesa ya ujambazi. She really was a wife not a changu that goes after power to misuse and abuse it simply because she shares a bed with president. Idadi ya watoto wake inafahamika. Ndoa yake ilikuwa haina utata wala mabaka wala watoto wa kuokotaokata na kuleta kila uchao.
 
Pole sana K. kaunda na Mungu amlaze pema mke wako.....R.I.P Betty a.k.a mama Kaunda.
 
Back
Top Bottom