Zambia: Mchungaji afariki kwa utapiamlo sababu ya mfungo wa maombi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
40372b63aa2a7e7a0c95e7ddbddabe57

Mchungaji Brighton Samajomba kutoka nchini Zambia, amefariki dunia kwa kinachotajwa kupatwa na Utapiamlo' akiwa katika mfungo ambao alikuwa anadhamiria kufikisha siku 30.

Mpaka anafariki mchungaji huyo alikuwa amefikisha siku 20 hivyo zilikuwa zimebaki siku 10 tu kutimia siku 30, Kaka wa Marehemu Reagan Samajomba anasema ndugu yake alikuwa na kawaida ya kufunga na kufanya maombi kwa muda mrefu kuliko wengine.

Katika mfungo wa siku 30 Kaka wa Marehemu anasimulia kuwa ndugu yake aliamua kufanya hivyo huku lengo kuu likiwa kuiombea familia yake pamoja na waumini wa kanisa analoliongoza mshikamano pamoja na umoja uzidi kuimarika.

"Jambo jema alilotuachia sisi kama familia ni namna alivyofariki sababu alikuwa karibu na Mungu," alisema Kaka wa Marehemu.

Vyanzo: Zambia watchdog, Nairaland, Iharare.
 
"Binadam tunaanhamia kwa kukosa maarifa." Hilo ndiyo neno la Mungu.
 
Huyu Mchungaji mwache tu ajifie, Heri yake kuliko wale matapeli wanaolipa hela ili wanawake wanase kwenye mapaa ya nyumba zao, nyambafuuuuuu
 
40372b63aa2a7e7a0c95e7ddbddabe57

Mchungaji Brighton Samajomba kutoka nchini Zambia, amefariki dunia kwa kinachotajwa kupatwa na Utapiamlo' akiwa katika mfungo ambao alikuwa anadhamiria kufikisha siku 30.

Mpaka anafariki mchungaji huyo alikuwa amefikisha siku 20 hivyo zilikuwa zimebaki siku 10 tu kutimia siku 30, Kaka wa Marehemu Reagan Samajomba anasema ndugu yake alikuwa na kawaida ya kufunga na kufanya maombi kwa muda mrefu kuliko wengine.

Katika mfungo wa siku 30 Kaka wa Marehemu anasimulia kuwa ndugu yake aliamua kufanya hivyo huku lengo kuu likiwa kuiombea familia yake pamoja na waumini wa kanisa analoliongoza mshikamano pamoja na umoja uzidi kuimarika.

"Jambo jema alilotuachia sisi kama familia ni namna alivyofariki sababu alikuwa karibu na Mungu," alisema Kaka wa Marehemu.

Vyanzo: Zambia watchdog, Nairaland, Iharare.
Dini zina ujinga mwingi
 
"Amma" ndiye huyo mungu wako aliyekula kitimoto au nini?
Umeishia darasa la ngapi shangazi usijue maana ya ama/amma?

Mungu wangu mimi hali.

Sio tu kitimoto bali chochote kile.

Kula na kunywa ni sifa ya mungu kwenu nyie makafiri.

Namaanisha yule mungu wenu mvaa kichupi juu ya msalaba.
 
Back
Top Bottom