Musa ameshakuwa babu, Neema yupo zake kijijini ni mwalimu mkuu shule ya msingi, anakaribia kustaafu sasa, Baraka ndo anasoma masters yake UK, akirudi tu atapewa unaibu waziri kama JK bado atakuwa madarakani.hizi hadithi zilikuwa zina mafunzo makubwa
nimewakumbuka Mr & Mrs Daudi, Baraka na Neema na Neema atakuwa ameolewa sasa
ametukumbusha enzi hizo
na jktmchakamchaka mnakimbizwa na mgambo huku mnaimba:
Jua lilee literemke mama; aiyaiya iya iya mama ...
Na ule wimbo mwingine wa kambona ameolewa na mwingereza mnaukumbuka?
Those days bwana, ilikuwa safi sana.
Nondo mla watu, kibanga ampiga mkoloni, brown ashika tama
hivyo ni vijisemo vyenu tu watoto wa siku hizi,Watu wa zamani mlipata shida sana. Sijui hata mlikuwa mnatongozaje wakati kulikuwa hakuna simu... Inawezekana pia mlikuwa mnachapiana sana.. Na ndio pengine mkafikia hatua ya kutunga ule msemo kuwa "kuchapiwa ni siri ya ndani"
hivyo ni vijisemo vyenu tu watoto wa siku hizi,
Enzi hizo hakuna wivu wa kijinga, kwa sisi machalii wa Enzi hizo ukimtongoza demu akikukubalia ukienda kusarandia unamuunganisha na best yako wa karibu nae aonje utamu,
unakuta mdingi kaoa kamuacha mke kijijini labda kaenda Nairobi, Mombasa, Tanga, Arusha au Dar anakaa huko miaka miwili akirudi anakuta mkewe ana mtoto wa miezi 4 wala haulizi anamlea tu kama wa kwake, na kawaida wazee wa Enzi hizo akirudi kabla hajafika nyumbani anatuma mtu apelike mizigo kama ishara kuwa mwenye mali amekuja wale wakudandia wasifike tena,
yote tisa umesahau kuoa ilikuwa ni kuchagua bega yaani unamvizia binti ukimbeba tu kwako akilala kesho yake wazazi wa mvulana wanakwenda kujitambulisha ndoa tayari.
- ukilala na mvulana tayari ameshakua mmeo hata kama humtaki
-siku za gulio ndo siku za kutoka yaani ukienda gulioni wewe ni mkali ile mbaya
-zawadi kubwa mama akitoka sokoni ni mandazi
-baba alimiliki uchumi wote wa familia hata kama mama ndo kalima
-jamani kufagia samadi kila sbh kbla ya shule, na kulima bustani za mboga ni kawaida sanaaa
-siku mwl anakuja kutembelea mkoa wamnafunzi mnajipanga barabarani na kuimba nyimbo za kumpongeza
-mwenge wa uhuru ukija wilayani ni balaa mtaimba mashairi na kwaya ile mbaya
-shulen kulikuwa na siku ya mashundano ya kuimba kwaya katika wilaya na mshindi huenda mkoa hadi taifa
-umishumta ilikuwa balaa skati fupiii za netball lol!
ngoja nipike narudi..................[/QUOTE
Turudie kwenye RED
Naikumbuka sana drive in cinema!
Kupangiwa kuwa mgonga kengele au mfuta ubao ilikua ni ufahari
Ivi humu watu kila mtu was zamani?.... Kuna mwingine zamani yake Jana..you are so funny guys
Utawatambua kwa post zao tu, kama wewe hivi
Mabasi binafsi hayakuwepo, yalikuwepo mabasi ya KAMATA aina ya FIAT na malori ya BEDFORD ya KAJIMA.
Hahaa..kwan We ndugu ni enzi gan utoe na wew kumbukumbu zako za maisha?
kuna Tabasamu na Joni Kaduma,mapicha ya ukweliWakuu mie nimelimiss jarida la Bongo lilikuwa linatoka mara 1 kwa mwezi!