julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,387
- 4,662
Mchina huko anafanya zoezi la kuzi train drone kwa algorithm ya kuua mbu kwa kuzichapa laser beam. Hii kwa jicho la tatu ni message kama tu ameshaweza kuya train ma chip ya AI ndani ya drone kuchapa makombora mbu kama mbu vipi kwa object kubwa kama binadamu na wengine. Message hio kwamba vita vikija yale mapicha picha ya terminator ndio yanakuja kuwa kweli. Angeweza kama ishu ni kuua mbu kuzuia malaria akafanya tu kimya ila katangaza dunia nzima,lakini ndio ujumbe huo kama drone inaweza kuchapa kombora Mbu bas wengine kaeni mkao wa kunyolewa
View: https://x.com/i/status/2086168055395287135
View: https://x.com/i/status/2086168055395287135