Mkjj:
Of course uvivu wa kufikiri unatulazimu tuseme ni kazi ya Mungu hata kama mtu akiona treni linakwenda spidi ya maili 100 kwa saa na akiamua kujitupa mbele yake kwa maksudi au kwa uzembe wake!
Ni makosa kabisa kwa rais kudhani kuwa mikasa ya ajali kama hizi zinazozuilika kwa kuwa na sheria na taratibu nzuri za usalama katika seeeeemu za kazi.
Hapa alitakiwa asisitizie kwa nguvu kabisa kuwepo na sheria, na zifuatwe katika shughuli za uchimbaji wa madini.
Boti mbovu au panakuwepo na ukiukwaji wa taratibu za kiasi cha wasafiri; inaua watu - eti kazi ya Mungu?
Kazi ya Mungu ni pale ambapo utakuwa umejiridhisha kabisa kuwa umefanya kila linalowezekana katika uwezo wako kulinda usalama wa wananchi wako; pakitokea ajali, unaweza ukasema 'Kazi ya Mungu' haizuiliki.
Mimi siamini katika mungu na naamini mungu anatumika kama scapegoat, kama carpet tunalotumia kufunika aibu yetu ya kutojua majibu ya msawali magumu ambayo hatuwezi kuyajibu.
How did we get here,
kazi ya mungu, usiulize, utakufuru bure.
Kwa nini watu wanakufa kwa sababu zinazoweza kuzuilika,
kazi ya mungu haina makosa.
Kwa nini hatupati mvua,
kazi ya mungu, let us pray for rain.
Mwisho tutasema kwa nini watoto wana utapiamlo,
kazi ya mungu.
Tunakosa tofauti na wale watu walioishi in the pre-scientific era waliofikiri radi ni hasira ya mungu.
Tutaacha kufanya kazi kwa bidii na kusema kwa nini tu masikini,
kazi ya mungu.
Hamna cha kazi ya mungu wala nini, hatuna
safety standards wala quality control.Now do not get me wrong, I believe in
chances, fallibility of science and
probability and one not being completely able to control the future, it is idiotic not to believe so, but I also believe one can control a lot, including the
probability of tragedies occurring and the overall numbers of casualties.
Hata kama mtu haamini mungu, lakini ukienda sehemu yenye safety standards za hali ya juu halafu watu wanakufa kwenye ajali (ajali zitakuwepo tu kutokana na the power of
entropy and the
uncontainable effects of the arrow of time coupled with the unforeseen) kwa hiyo my thing ni kuwa kuna situations nyingine mtu unaweza ku tolerate "
kazi ya mungu tu" kama
euphemism ya "bwana haya mambo mengine ni mambo ya
probability tu, na mambo ya
entropy,
kwamba it is against the second law of thermodynamics for any system not to be prone to disaster and inefficiency 100%, kwa hiyo kama alivyosema Kalamu na wengine hapo juu, naweza kusamehe hizo kauli za "kazi ya mungu" kama sisi tumeshafanya kazi yetu ipaswavyo tukamuachia "mungu" (
in my case probability and entropy and the unknown the unforeseen and the unpredictable)
They say god help those who help themselves.
Sasa sisi tumeshajisaidia vipi wenyewe mpaka tumpe lawama huyu mungu?