chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,205
- 304
ila ilo jambo walikwisha sema mapema zaidi as kiwango cha kuwadhamini wanafunzi wa elimu ya juu kitapungua siku baada ya siku serekali haina hela
wewe unaona ni nini?...lugha ya taifa letu
Taratibu Mkuu, hujasoma vizuri comment yangu! Kwa kifupi sifurahii utendaji wa TCU, wala kuona vijana wenye Division I wakikosa nafasi za kujiunga wakati huo huo kuna wanafunzi wengine wenye Division III wanapata mkopo. Wakati huo huo kuna baadhi ya kozi UDSM hazina wanafunzi (hawajatimia idadi) Na mwisho kabisa, sifurahii kupigwa pigwa mizinga na madogo, kisa bodi ya mikopo haijafanya vile inavyotakiwa.Unasikia wapi? Toa story zako za vijiwe vya kahawa hapa.
Kweli ukipangwa ud raha sana,yani ckuaply mkopo na vile vile nimepangwa program yenye non priority,bt kwa taarifa 2 ni kwamba nina 80% yangu iliyotulia..names za wote waliopata loans ztatolewa anytym from leo.
hahaha kawaida sana karibuni chuo bhana mkumbuke kuna sap na disco
Acha kututisha Sap na kudisco sio lazima na kuna watu kibao wamemaliza vyuo bila Sap.
Nashukuru Mungu nimemaliza mwaka huu ila wanafunzi wengi wanaoendelea niliwaambia wategemee vurugu sn mwaka huu wa masomo hasa kwa first year kutokana na mambo tcu waliyoanza kuonyesha mapema mwaka huu. Tutarajie sana yafuatayo:fencing::laser::boxing::A S-cry::frusty::noidea:
hahaha kawaida sana karibuni chuo bhana mkumbuke kuna sap na disco
By Perry:
"...kuna wachache ambao
wanasoma RROGRAMS ZISIZO ZA KIPAUMBELE
'wamebahatika'..."
System imekosea au? maana ilishasemwa hawatopata... tuambizane.
"Taarifa rasmi" za 'chini ya kapeti'
unaonekana ni mzee wa sap wewe? Kama wewe ni kilaza usijaribu kufananisha ukilaza wako na wa watu wengine kajipange na ujitaidi usiendele kusap itakucost badae