majuto mperungu01
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 115
- 21
ijumaa ngienda kcmc ila ngewahi isha...
kutre mwandu ku mangi akwa
ngekuvia kwa simu kama nitakuja
ijumaa ngienda kcmc ila ngewahi isha...
Aiseee babaangu sijui kama udsm patakalika
Wakuu,kulingana na taarifa rasmi nlizozpata muda huu toka chanzo cha kuaminika toka heslb,ni kwamba zaidi ya raia 15000 wamepigwa chini na heslb..watu wanaosoma udaktari wa binadamu&mifugo,uhandisi,kilimo na ualimu wa masomo ya sayansi na hisabati,wamelambwa 100%,wanaosoma ualimu wa masomo ya sanaa na biashara wamepewa kulingana na means testing,pia kuna wachache ambao wanasoma programs zisizo za kipaumbele wamebahatika kupata mkopo.chuo kikuu cha dar es salaam wanafunzi zaidi ya 1000 wamekosa mkopo kabisa!asanten .
Duuuu mbona kama ndo hivyo basi tcu naomba waanze taratibu za kutangaza nafasi nyingi zitakazo achwa na watoto wa masikini nikiwemo mimi, Mungu epushia mbali hili.
ijumaa ngienda kcmc ila ngewahi isha...
Wakuu,kulingana na taarifa rasmi nlizozpata muda huu toka chanzo cha kuaminika toka heslb,ni kwamba zaidi ya raia 15000 wamepigwa chini na heslb..watu wanaosoma udaktari wa binadamu&mifugo,uhandisi,kilimo na ualimu wa masomo ya sayansi na hisabati,wamelambwa 100%,wanaosoma ualimu wa masomo ya sanaa na biashara wamepewa kulingana na means testing,pia kuna wachache ambao wanasoma programs zisizo za kipaumbele wamebahatika kupata mkopo.chuo kikuu cha dar es salaam wanafunzi zaidi ya 1000 wamekosa mkopo kabisa!asanten .
mtoto wa maskn umepata kauwezo ka kuaccess net
ndio mkome .nani aliwaambia kuipigia kura ccm
By Perry:
"...kuna wachache ambao
wanasoma RROGRAMS ZISIZO ZA KIPAUMBELE
'wamebahatika'..."
System imekosea au? maana ilishasemwa hawatopata... tuambizane.
"Taarifa rasmi" za 'chini ya kapeti'
Nasikia kuna HGL wengine wamepelekwa Mhimbili wakasomeee medicine, na kuna PCB wamepelekwa Law! Yaani Mwaka huu TCU hawana wanachokifanya zaidi ya kuongeza complication na loopholes za kuibia taifa. Ushauri wangu kwa serikali kupitia wizara husika, TCU waboreshe mfumo wa zamani ambapo mwanafunzi anaapply mwenyewe katika chuo husika, then ikitokea mwanafunzi kaapply vyuo zaidi a kimoja, TCU System should identify him/her immediately. Waache kubania hela, TCU toeni pesa watu (Msc & PhD Students can do the project) wafanye kazi za kucentralize hiyo system nchi nzima!! Hakutakuwa na shida