Zaidi ya wanafunzi 15,000 wakosa mikopo ya elimu ya juu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zaidi ya wanafunzi 15,000 wakosa mikopo ya elimu ya juu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Sep 11, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wakuu,kulingana na taarifa rasmi nlizozpata muda huu toka chanzo cha kuaminika toka heslb,ni kwamba zaidi ya raia 15000 wamepigwa chini na heslb..watu wanaosoma udaktari wa binadamu&mifugo,uhandisi,kilimo na ualimu wa masomo ya sayansi na hisabati,wamelambwa 100%,wanaosoma ualimu wa masomo ya sanaa na biashara wamepewa kulingana na means testing,pia kuna wachache ambao wanasoma programs zisizo za kipaumbele wamebahatika kupata mkopo.chuo kikuu cha dar es salaam wanafunzi zaidi ya 1000 wamekosa mkopo kabisa!asanten .
   
 2. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  source yako haijakwambia wanatoa lini???
   
 3. Geezzle

  Geezzle JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Probably ln watatoa majina rasmi?!funguka mwana!
   
 4. J

  JPM605 Senior Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Source taf
   
 5. S

  SAINT_SAI Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyo n kawaida maana kla mwaka kukosa n kawaida kwa baadh ya wanafunz
   
 6. A

  Apex JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duuuu mbona kama ndo hivyo basi tcu naomba waanze taratibu za kutangaza nafasi nyingi zitakazo achwa na watoto wa masikini nikiwemo mimi, Mungu epushia mbali hili.
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Da jamani tupunguze bia maana ada ya chuo s mchezo!! Kama unao watatu na kama walisoma academy jua full chuo kusomesha!!! Need big savings!!
   
 8. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 180
  Akupe Tomato au Chill?
   
 9. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye 1000 ud mungu asaidie nisiwepo maana hali ni tete
   
 10. h

  handboy Senior Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya taarifa imekaa kiumbeya
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  1qn. chanzo hakijakwambia wanatoa majina lini???
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu sijui kama udsm patakalika
   
 13. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bora pasikali kwasababu kuna dalili ya kwenda kuchoma maindi pale ngoja niendele na maru ye osha hadia na samu ya mburu
   
 14. n

  ngararumo Senior Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ud ka tupo 1000 walokosa mkopo wanatosha kabsa kwenye maandamano
   
 15. n

  ngararumo Senior Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mbula majuto ufo ng'a?...lunu ngive keri hala maangulwa ngsakulwa vimbarata
   
 16. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ngikeri ngasha mo twn ivo ngivekumdi isha thuni ala mangulwa ngalemwa umeme uvesumbwa
  ngisha sakwa vimbarara ijumaa
   
 17. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nini hiki?????? duh!!
   
 18. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Da. Kwakweli hii inasikitisha sana, watoto walijitahd lakin govmnt haitendi haki, hawa vijana wataenda wapi, na ndo hawa wale 10% waliofaulu fom 4, serikali isikilize kilio cha hawa watoto
   
 19. n

  ngararumo Senior Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ijumaa ngienda kcmc ila ngewahi isha...
   
 20. n

  ngararumo Senior Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wewe unaona ni nini?...lugha ya taifa letu
   
Loading...