Zaidi ya utamu na faida kibao zipo

Zaidi ya utamu na faida kibao zipo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,437
Reaction score
867,135
1412163512344.jpg
 
mi napenda ua lake pale linapofungwa GUNZIIIIIIIIIIIiiiiii ili liwe JIKEEEEE
 
metoka kula saiv tunda zuri sana hili
 
Hili usile ukiwa safarini,maana kuchimba dawa akutaisha tena dawa ya muda mrefu.!
 
juzkat ckupata kinyume cha haja ndogo wiki nzima nkaambiwa mile hizo kitu...
.
 
Back
Top Bottom