Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
maswali magumu kwa watu makini..
1- kwanini waitara aliwakatalia wamarekani kuanza ACOTA bila kusaini SOFA?
2- SOFA inaonekana ni kipingamizi kikubwa ambacho wamarekani hawakukikubali kitiwe saini kwanza
3- wanasema waitara alikuwa ni pro-eastern block...kwa hiyo alikuwa ni kikwazo just by anay means NO to americans..fine..lakini hii ACOTA si ni training tuu ya kawaida...iweje waitara aonekane ni-mmashariki hawataki wamarekani?...hakuna kitu nyuma ya hii ACOTA kama hidden american agenda??
4- SOFA ina nini hasa ambacho wamarekani walikiogopa..means ingetiwa saini mapema ingewalimit kufanya mambo mengi yasiyokubalika kwa kigezo cha ACOTA...hatuwezi kupata popote pale documents za SOFA...naamini tutaona wamerikani waliogopa nini alichowashika pabaya mzee waitara.
5- inawezekana waitara alilazimishwa kustaafu/kujiuzulu?..na nani, kwanini, ili iweje akishajiuzulu, kisha awekwe nani kukamata nafasi ya CDF...yapo maswali mengi tuu sipati majibu sahihii
KUBES....TUNAKUSUBIRI UJE NA MAJIBU HAYA....
"UNITED STATES OF AFRICA..IN DOGS WE TRUST"
Mkuu na mimi nilikuwa ninajiuliza maswali kama nilivyoyawekea red. Na bila shaka uteuzi wa Gen. Davies Mwamunyange kuwa CDF ulifanyika kwa makusudi mazima ili kurahisisha utekelezaji wa huo mradi wa ACOTA.
Na hapa inaonekana wakati Kapuya na JK wanaji commit kwa balozi Retzer kwamba training itaanza August baada ya kuondoka Waitara, bila shaka Mwamunyange alishaandaliwa ku take over na assignment yake ya kwanza ofisini ni kusaini mkataba wa ACOTA.
Kwa hali kama hii tunalazimika kuwa na maswali mengi juu ya uslama wa nchi yetu, kwanini serikali yetu inakuwa ndogo kama piriton mbele ya matakwa ya wamarekani??