Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

Nahisi wamarekani wameifanya Tanzania kama jimbo mojawapo la kwao, hii aibu. Nilifikiria sana waitara alipostaafu kabla ya muda, nikasema hapa lazima kuna jambo. Kumbe ndo hilo da!!
 
Usidanganyike mkuu, huu waweza kuwa mpango wao wa kuwachafua au kuwafumua maraisi ili wachukiwe na wananchi wao kwa malengo yao.

Kwa hiyo serikali ya Marekani imetoa cables hizi makusudi? Inawachukia marais woote dunia nzima? Hizi embarassing details kuhusu udhaifu wao nazo zinawasaidiaje sasa?

Halafu unasema "huu waweza..." unaonekana huna hata hakika na unachosema, una speculate tu.

Hivi kweli M7 ni msafi kuliko JK?

Non sequitur, nani kasema Museveni Msafi zaidi? Why are you even bringing this up?

Mwai na Raila ni wasafi kuliko JK? No! Hawa watu wanahitaji kutuvuruga tu ili wachukue maliasili zetu kiulaini.

Anayevuma Gadafi, lakini wengine wapo. This is the lamest excuse every failing African regime comes up with everytime it fvcks up and is exposed by some western agent. Tatizo hapa ni kwamba, hizi cables za Wikileaks zina damage Marekani zaidi ya zinavyodamage Tanzania. Mabalozi wa Marekani walikuwa wanaheshimika sana, sasa wanaonekana wambea tu, sasa utasemaje huu ni mpango wa kutuvuruga?

Rais wako mwenyewe kaenda kuwaambia kwamba CDF Waitara alikuwa hamuheshimu, kama wanataka kutuvuruga si wanawatafuta wanajeshi wachache na kuwapa mpango wa kuchukua nchi tu, kuna haja gani ya kuji expose na mi cable ya dunia nzima?

Pamoja na tofauti zetu za kisiasa, hawa wamekuwa wapinzani wetu wa tatu ambao wanachonganisha pande mbili za kisiasa (Utawala na Upinzani) ili tuchafuane. Naomba wananchi wote wa TZ, pamoja na tofauti zetu, tutumie jicho la tatu kuwaona hawa watu.

Your dilapidated paranoia is laughable. Hata kama kweli Wamarekani wakawa na sinister ambitions aimed at by using dubious ways - I wouldn't put it past them, lakini hiyo thinking yako kwamba hizi cables ni some deliberate conspiracy on the part of the Americans is shoddy thinking .
 
Usidanganyike mkuu, huu waweza kuwa mpango wao wa kuwachafua au kuwafumua maraisi ili wachukiwe na wananchi wao kwa malengo yao. Hivi kweli M7 ni msafi kuliko JK? Mwai na Raila ni wasafi kuliko JK? No! Hawa watu wanahitaji kutuvuruga tu ili wachukue maliasili zetu kiulaini. Pamoja na tofauti zetu za kisiasa, hawa wamekuwa wapinzani wetu wa tatu ambao wanachonganisha pande mbili za kisiasa (Utawala na Upinzani) ili tuchafuane. Naomba wananchi wote wa TZ, pamoja na tofauti zetu, tutumie jicho la tatu kuwaona hawa watu.

Kuwachafua?? kwanini mnakimbilia kwenye defence ndogondogo kama hizi?..je ni kweli hili jambo halikuwepo au limezushwa? kwa hali hii ya utetezi mwepesi kama huu ndo maana tupo hapa tulipo kwa baadhi ya watu kukataa kuwajibika kwa makosa ya wazi kabisa..jambo linalohusu ulinzi na usalama wa nchi afu Rais wa nchi analishabikia wakati CDF alilitilia ngumu ni dalili mbaya kabisa ya aina ya uongozi wa manufaa ya wengi, hapa ndipo pa kutumia jicho la tatu..
 
On May 2, Minister Kapuya told the Ambassador, "After you telephoned me about the TPDF delaying the ACOTA training, I wrote a letter to our Chief of Defence Forces (General Waitara)." Kapuya handed the Ambassador a copy of the letter

Hapa ndo nimejua kwa nini Watanzania wengi husema “Tunaomba Serikali itufanyie ……….” badala ya kusema kama Wakenya “Tunataka Serikali………………”

Viongozi wanachaguliwa na Watanzania, Kazi wanamtumikia Mmarekani! Ebu ona hiyo fedheha jinsi Mbunge na Waziri, Msomi wa ngazi ya Uprofesa, Mtu wa msimamo mkali-kidini anavyokuwa mdogo katika kutoa taarifa kwa Mabwana zake. It’s a month of big shames to our government as wikileaks continues to divulge what they stamp “Highly Confidential”

Kwenye red: Professor huyo!
 
General waitara, ana msimamo na msimamo wake sio wa kihuni kama wa kikwete,ukweli sasa unatoka sio kwamba general waitara anamchukia sijui anaugomvi na kikwete, ni uzushi, waitara hakubaliani na usanii wa marekani ambayo kikwete aliukumbatia,sasa wamembwaga kwani wanamuona hana lolote ni usanii wa kucheka cheka.general hata kama ilimcost kustaafu mapema kwani alikuwa kichwa lakini ameondoka na msimamo wake mkubwa wa kulinda nchi from foreign and domestic vibaraka.nani leo hii kwenye utawala wa jk ana msimamo kama huo, usanii tuu kwa sasa siku zipite watumbo yao tu,nchi inauzwa.dahh aibu kubwa hii.long live general waitara
 
Kuwachafua?? kwanini mnakimbilia kwenye defence ndogondogo kama hizi?..je ni kweli hili jambo halikuwepo au limezushwa? kwa hali hii ya utetezi mwepesi kama huu ndo maana tupo hapa tulipo kwa baadhi ya watu kukataa kuwajibika kwa makosa ya wazi kabisa..jambo linalohusu ulinzi na usalama wa nchi afu Rais wa nchi analishabikia wakati CDF alilitilia ngumu ni dalili mbaya kabisa ya aina ya uongozi wa manufaa ya wengi, hapa ndipo pa kutumia jicho la tatu..

Watu wengine bwana, yaani unasoma na kujiuliza au labda huyu mtoto nini? Yaani mtu anakuja serious kabisa na simple argument isiyo kichwa wala mguu "wanataka kutuchafua".
 
Who knows labda alioa akaacha baada ya mwezi baada ya kuona soo.
Kutoka kwenye one of the cables: Nadhani si kila kilichopo kwenye wikileaks ni sahihi.Mfano hilo la kuoa cousin wa Juvenal .



Kikwete's Biographical Notes
----------------------------

6. (C) Kikwete represents the "young Turk" segment of
the CCM party. He is popular, politically adroit,
charismatic and very ambitious. In socially
conservative Tanzania, however, Kikwete's relative
youth - he is 55 - has worked against him. So has his
playboy reputation. As the party has increasingly
emphasized experience and education, Kikwete has a
built an impressive resume. Since 1995, Kikwete has
been Foreign Minister and also the MP for Chalinze
Constituency. Previous government positions include
Minister for Finance (1994-95), and Deputy Minister,
then Minister for Energy, Minerals and Water (1990-
94.) For the twenty years before his government
service, Kikwete served in various positions in the
CCM party, and in its predecessor party, TANU.

7. (U) Kikwete comes from the small town of Msogo, on
the coast near Bagamoyo. He has a BA in economics
from the University of Dar es Salaam.

8. (C) An able politician, Kikwete is a somewhat
unenthusiastic administrator. On Embassy row, his
Foreign Ministry has a reputation for being
understaffed and minimally responsive. Kikwete
himself is personable, and conveys the impression that
he will at least consider the views of foreign
diplomats. Kikwete has signaled that he might discuss
signing an Article 98 agreement with the US; the
current President Benjamin Mkapa has firmly closed the
door on any agreement for the remainder of his
Presidency. For years, observers of the Great Lakes
conflicts have considered Kikwete to be virulently
pro-Hutu. Rumors that he was facilitating arms
transfers to Burundian Hutu rebels persisted, but have
never been substantiated. Kikwete's marriage to a
cousin of former Rwandan President Juvenal Habyarimana
may have fueled these rumors, which are now fading as
the Burundi conflict winds down.
 
kumbe Gen mwamunyange ni kibaraka?. Kapuya said to ambassador, "umefanya vizuri kumshirikisha!". This means ni kibaraka, na hii inatisha kwani hata chief of staff wake shimbo ni walewale! Jeshi letu wanaliweza watu wa Mara, they ar intelligent na wana misimamo, nashangaa hawa wametokea wapi! ..jeshi ni entity inayojitegemea km ilivyo bunge au mahakama..lazima iwe na maamuzi yake bila kuingiliwa! naionea huruma sana nchi yangu!

Donyo,
Niliwahi kuhudhuria sherehe ya kamisheni ya maafisa wapya Arusha.

Sehemu ya kiapo kama nilivyosikia ni "Naapa kumlinda, kumtetea na kumtumikia raisi wa JMT"

Kwa maoni yangu, Jeshi si taasisi huru kama unavyosema, kinyume chake ni kweli. Jeshi linawajibika moja kwa moja kwa raisi au vinginevyo itakuwa ni uasi.

Jukumu la msingi la jeshi ni ulinzi ie kupigana vita. Mkuu wangu nikukumbushe kuwa siyo mkuu wa majeshi anayeamua nchi iingie vitani.

Kwa maoni yangu, kama hiyo ndiyo hali halisi basi inawezekana hilo ndilo lililoterminate utumishi wa Gen Waitara na siyo umri, nimesema inawezekana...
 
Rweyemamu asikurupuke tena kujibu, niliwaambia hawa jamaa wanatujua zaidi ya tunavyojijua sisi, kuna member mmoja ameanzisha thread eti Marekani ituombe radhi kwa suala la suti ni wehu tu huo, hilo kwao ni jambo dogo sana ngoja watoe dili za silaha kwenda DRC ndipo akili itawarudi.

Hapo kwenye red, watu wengine kama hawafikirii kabisa.
 
Kwa hiyo serikali ya Marekani imetoa cables hizi makusudi? Inawachukia marais woote dunia nzima? Hizi embarassing details kuhusu udhaifu wao nazo zinawasaidiaje sasa?

Halafu unasema "huu waweza..." unaonekana huna hata hakika na unachosema, una speculate tu.



Non sequitur, nani kasema Museveni Msafi zaidi? Why are you even bringing this up?



Anayevuma Gadafi, lakini wengine wapo. This is the lamest excuse every failing African regime comes up with everytime it fvcks up and is exposed by some western agent. Tatizo hapa ni kwamba, hizi cables za Wikileaks zina damage Marekani zaidi ya zinavyodamage Tanzania. Mabalozi wa Marekani walikuwa wanaheshimika sana, sasa wanaonekana wambea tu, sasa utasemaje huu ni mpango wa kutuvuruga?

Rais wako mwenyewe kaenda kuwaambia kwamba CDF Waitara alikuwa hamuheshimu, kama wanataka kutuvuruga si wanawatafuta wanajeshi wachache na kuwapa mpango wa kuchukua nchi tu, kuna haja gani ya kuji expose na mi cable ya dunia nzima?



Your dilapidated paranoia is laughable. Hata kama kweli Wamarekani wakawa na sinister ambitions aimed at by using dubious ways - I wouldn't put it past them, lakini hiyo thinking yako kwamba hizi cables ni some deliberate conspiracy on the part of the Americans is shoddy thinking .

From what you have suggested, it suggests that u think inside the box. Please try to free your mind and rethink about my comments. No one has an idea of the real relationship between American government and Wikileak. Thereby, don't deny aggressively the possibility of the linkage between these for their own interests. Have you heard that Al-qaeda is an American organisation for fullfilling the American interests? But day and night, morning and evening, Americans are keeping on condemning and blaming Al-qaeda as their greatest enemy. Think more my friend. I'm saying that, we should be very careful on fixing our differences due to the fact that our outside enemy can use these differences as weapons to distroy us, both ruling ang oppositional parties.
 
hata kama ikiwa ya miaka 50 iliyopita lakini ina impact kwa sasa lazima isomwe na hatua zichukuliwe!!!!! pia nina mashaka na uelewa wako juu ya umuhimu wa historia katika nchi yako.

Haya chukuwa hizo hatua, ngapi? naanza kuzihesabu.

Hapo kuna historia ya nchi kuna ufataani tu? wewe cha maana ulichokiona hapo ni nini haswa.
 
Usidanganyike mkuu, huu waweza kuwa mpango wao wa kuwachafua au kuwafumua maraisi ili wachukiwe na wananchi wao kwa malengo yao. Hivi kweli M7 ni msafi kuliko JK? Mwai na Raila ni wasafi kuliko JK? No! Hawa watu wanahitaji kutuvuruga tu ili wachukue maliasili zetu kiulaini. Pamoja na tofauti zetu za kisiasa, hawa wamekuwa wapinzani wetu wa tatu ambao wanachonganisha pande mbili za kisiasa (Utawala na Upinzani) ili tuchafuane. Naomba wananchi wote wa TZ, pamoja na tofauti zetu, tutumie jicho la tatu kuwaona hawa watu.
hapo kwenye red sikuelewi,..kwani sasa hivi wanachukua kigumu,..mbona madini wachukua usiku na mchana,..and wait a minute,..maliasili sio zetu,sema zao maana mikataba wanaingia wanavyotaka wao...
 
hapo kwenye red sikuelewi,..kwani sasa hivi wanachukua kigumu,..mbona madini wachukua usiku na mchana,..and wait a minute,..maliasili sio zetu,sema zao maana mikataba wanaingia wanavyotaka wao...
Mlina asali akinogewa huchonga mzinga, sasa wanataka wahamie kabisa TZ kama hujui.
 
Status Of Forces Agreement Marekani wanaiogopa ile mbaya maana inaweka mipaka ni nini wanaweza kuaccess na ni faida gani jeshi husika linanufaika. Kapuya is bigot and knows nothing about the military. Kikwete na hata Mkapa walikuwa wanafanya makusudi kuweka Mawaziri ambao ni mbumbumbu wa masuala ya kijeshi. Waitara anamfahamu vyema JK na ndiyo maana alipinga asiteuliwe kugombea Urais. Nasikia hata alipoteuliwa, hakuwahi kumpigia saluti. It might have cost him, but the guy remains a patriot and true to his Oath! Marekani wanakutumia na wakishajua kila siri yako wanakubwaga!
 
Democracy at its best. Mlitaka wakae kama ma zezeta? Kwani ni kampuni binafsi hiyo? Mnanchekesha, hata kampuni zina kuto-kukubaliana.

Halafu hiyo habari ni ya lini? history.

Mnauza kila kitu kuanzia natural resources mpaka jeshi la nchi. Endelea kuwatetea lakini najua roho inakusuta.
 
Kinachoendelea katika taifa hili ni kielelezo hai kuwa Taifa linaelekea mwisho wa mwisho wake, kama tukiendelea na hawa ccm hakika nchi itaangamia , na bila shaka watoto wetu wataishi katika Lindi la umaskini na utumwa, lakini Hata familia za Kina Kikwete , Shimbo, Kapuya na wengine wakariba yao hawatakua na Raha.
Kinachoendelea ni aibu kwa Taifa ni aibu kwa familia zao , kwa marafiki zao na kwa watendaji wa woote wanaomzunguka Kikwete.
 
maswali magumu kwa watu makini..

1- kwanini waitara aliwakatalia wamarekani kuanza ACOTA bila kusaini SOFA?

2- SOFA inaonekana ni kipingamizi kikubwa ambacho wamarekani hawakukikubali kitiwe saini kwanza

3- wanasema waitara alikuwa ni pro-eastern block...kwa hiyo alikuwa ni kikwazo just by anay means NO to americans..fine..lakini hii ACOTA si ni training tuu ya kawaida...iweje waitara aonekane ni-mmashariki hawataki wamarekani?...hakuna kitu nyuma ya hii ACOTA kama hidden american agenda??

4- SOFA ina nini hasa ambacho wamarekani walikiogopa..means ingetiwa saini mapema ingewalimit kufanya mambo mengi yasiyokubalika kwa kigezo cha ACOTA...hatuwezi kupata popote pale documents za SOFA...naamini tutaona wamerikani waliogopa nini alichowashika pabaya mzee waitara.

5- inawezekana waitara alilazimishwa kustaafu/kujiuzulu?..na nani, kwanini, ili iweje akishajiuzulu, kisha awekwe nani kukamata nafasi ya CDF...yapo maswali mengi tuu sipati majibu sahihii

KUBES....TUNAKUSUBIRI UJE NA MAJIBU HAYA....

"UNITED STATES OF AFRICA..IN DOGS WE TRUST"
Mkuu SOFA stands for Status of Forces Agreement.Na ni utaratibu wa kawaida kabisa kwa nchi kuwa na SOFA pale kunapokuwa na uwepo wa majeshi ya nje kwenye nchi husika.Mikataba hii inasaidia kuepuka matatizo ambayo yaweza kujitokeza kutokana na ushirikianao huo.Kwa mfano wanajeshi wa marekani wakiwa huko,halafu wakafanya kosa,basi kwa kuwa wako under the bills of rights,hawalazimishwi kuzi give up,na kama hakuna hiyo SOFA basi hamwezi kuwashitaki.Huo ni upande mmoja tu.Pia ni kama makubaliano ambayo nadhani kwa namna flani yanaprotect sovereignity ya nchi husika.
Hicho kipande hapo chini kutoka wikipedia kinaweza kukupa mwanga kidogo...Hiyo SOFA ni muhimu kwasababu inaonyesha mipaka ya operations za hao wanajeshi kutoka nje.Pamoja na namna issue za kisheria zitakavyokuwa handled.Serikali yetu uswahili mwingi wanaiuza hii nchi kama wanakufa kesho.Same thing kwenye mikataba ya rasilimali zetu.Yani hawajali yale yanayosimamia usalama na rasilimali za Taifa.Hawafai hawa.Ina maana kama hakuna terms za hao wanajeshi ku operate,then nchi haiko huru.
The SOFA is intended to clarify the terms under which the foreign military is allowed to operate. Typically, purely military issues such as the locations of bases and access to facilities are covered by separate agreements. The SOFA is more concerned with the legal issues associated with military individuals and property. This may include issues like entry and exit into the country, tax liabilities, postal services, or employment terms for host-country nationals, but the most contentious issues are civil and criminal jurisdiction over the bases. For civil matters, SOFAs provide for how civil damages caused by the forces will be determined and paid. Criminal issues vary, but the typical provision in U.S. SOFAs is that U.S. courts will have jurisdiction over crimes committed either by a servicemember against another servicemember or by a servicemember as part of his or her military duty, but the host nation retains jurisdiction over other crimes
 
Mhh!!Hii sasa balaa jamani WATANZANIA WENZANGU,tufanyeje sasa jamani??
 
Back
Top Bottom