Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,026
36,022
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.

2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya kipolisi tu ambapo kamanda Muliro mguu wake mmoja hauenei.

3. Israel leo mwezi wa 6+ anapigana kwa makombora na mabomu mazito mazito; akitumia drones, ndege, manowari, makomando, brigades, special force, Shin Bet, Mossad, nk; hivi huyu ndugu kufikia hapa anapigana na nani bado huko?

4. Wenye akili zao wamesha stuka:

IMG_20240426_001337.jpg

5. Huyu si ashauriwe japo kupata ushauri kutokea kwenye vyombo vya ulinzi na usalama vya kwetu huku ambavyo kumbe vina weledi mkubwa mno kulinganisha naye?

IMG_20240426_001427.jpg

6. Anachokifanya huyu ndugu Bibi mbona kinatia kinyaa zaidi?

7. Kwa hakika inahitaji u wenda wazimu uliotukuka kumwelewa ndugu mwisraeli kwenye vita vyake hivi!
 
Wapalestina wote ni HAMAS labda awamalize wote na si rahisi.Anachoogopa siku wakija kupata silaha ndo itakuwa mwisho wa mayahudi.Anawaza iwaje hawana silaha na wako ngangari ?? Je wakizipata ? itabidi mayahudi wakimbilie baharini kama wale panya wa mpiga filimbi wa Hamelini
 
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.

2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya kipolisi tu ambapo kamanda muliro mguu wake mmoja hauenei.

3. Israel leo mwezi wa 6+ anapigana kwa makombora na mabomu mazito mazito akitumia drones, ndege, manowari, makonando, brigades, special force, Shin Bet, Mossad, nk; huyu ndugu kufikia hapa anapigana na nani vado huko?

4. Wenye akili zao wamesha stuka:

View attachment 2974134

5. Huyu si ashauriwe japo kupata ushauri kutokea kwenye vyombo vya ulinzi na usalama vya kwetu huku ambavyo kumbe vina weledi mkubwa mno kulinganisha naye?

View attachment 2974137

6. Anachokifanya huyu ndugu mbona kinatia zaidi ya kinyaa?

Huyu ni gaidi,na inasemekana hata wale waliovamia ile sherehe na kuteka watu,ulikuwa ni mpango wake Nyetanyahu,kwa sababu kule kuna ulinzi na camera za kisasa,vipi hawa watekaji Waliingia bila kuonekana?Na ndio maana humsikii kulaumu wala kuwajibisha,wanahusika na ulinzi wa nchi yake.
 
Kweli kujua kusoma sio kaz.Shida Hamas wamejificha kwenye makazi ya kiraia.Maeneo kama hospital na shule.Huwezi piga hapo kaka utaua wasio na hatia.Ndio maana Israel anawachomoa mmoja baada ya mwingine huko Gaza
 
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.

2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya kipolisi tu ambapo kamanda muliro mguu wake mmoja hauenei.

3. Israel leo mwezi wa 6+ anapigana kwa makombora na mabomu mazito mazito akitumia drones, ndege, manowari, makonando, brigades, special force, Shin Bet, Mossad, nk; huyu ndugu kufikia hapa anapigana na nani vado huko?

4. Wenye akili zao wamesha stuka:

View attachment 2974134

5. Huyu si ashauriwe japo kupata ushauri kutokea kwenye vyombo vya ulinzi na usalama vya kwetu huku ambavyo kumbe vina weledi mkubwa mno kulinganisha naye?

View attachment 2974137

6. Anachokifanya huyu ndugu mbona kinatia zaidi ya kinyaa?

7. Kwa hakika inahitaji u wenda wazimu uliotukuka kumwelewa ndugu mwisraeli kwenye vita vyake hivi!
Si mlishasema hamas ni jeshi bora wameshinda vita na jeshi la israel wanauawa nini sasa kuja kulia lia mauaji ya kimbari gaza kama hamas ni jeshi bora wameshindwa kuzuia vifo vya raia wa gaza
 
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.

2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya kipolisi tu ambapo kamanda muliro mguu wake mmoja hauenei.

3. Israel leo mwezi wa 6+ anapigana kwa makombora na mabomu mazito mazito akitumia drones, ndege, manowari, makonando, brigades, special force, Shin Bet, Mossad, nk; huyu ndugu kufikia hapa anapigana na nani vado huko?

4. Wenye akili zao wamesha stuka:

View attachment 2974134

5. Huyu si ashauriwe japo kupata ushauri kutokea kwenye vyombo vya ulinzi na usalama vya kwetu huku ambavyo kumbe vina weledi mkubwa mno kulinganisha naye?

View attachment 2974137

6. Anachokifanya huyu ndugu mbona kinatia zaidi ya kinyaa?

7. Kwa hakika inahitaji u wenda wazimu uliotukuka kumwelewa ndugu mwisraeli kwenye vita vyake hivi!
Kupigana na wanamgambo wanaojificha maeneo ya raia kama hospitali , shuleni, na katikati ya miji yenye raia wengi ni ngumu ina hitaji akili kubwa hata hivyo israel imejitahidi sana ingepiga capeti bomu hiyo gaza yote ingeisha vita vingeisha muda mfupi
 
Anapambana na ugaidi. Kumbuka hamas waliuwa watanzania wenzetu wawili wasokua na hatia.
End of story. Mengine kelele tu.

Mtu hawezi kuacha kukumbuka mauaji ya ndugu zetu wasio na hatia, ajabu kila siku akawa analilia wapalestina wanaouliwa kwa kuwaficha hao Hamas.

Bila kwanza mtu kulaani mauaji ya watanzania wenzetu wasio na hatia yaliyofanywa na Hamas, basi malalamiko mengine yote kuhusu Gaza na Israel ni unafiki mtupu.

Haki siku zote iko pande mbili, hakuna haki ya upande mmoja pekee, unless mtu awe anasukumwa na ajenda nyingine ya siri anayoona aibu kuisema wazi.
 
Waanamini Propaganda ni kuumaliza uislam. kumbe ndio kwanza kuupa nguvu maana wengi wanasoma na kuingia katika uislam

1. Tofautisha vita vya kidini na vita vya ukombozi.

2. Ninapigania ukombozi wa Gaza.

3. Sina cha kufanya na uislam wala dini ya awaye yote.

4. Zaidi mno miye si mwislam.
 
Wapalestina wote ni HAMAS labda awamalize wote na si rahisi.Anachoogopa siku wakija kupata silaha ndo itakuwa mwisho wa mayahudi.Anawaza iwaje hawana silaha na wako ngangari ?? Je wakizipata ? itabidi mayahudi wakimbilie baharini kama wale panya wa mpiga filimbi wa Hamelini

Hata Bernie Sanders ni HAMAS. Ama kweli "wonders shall never end."
 
Wapalestina wote ni HAMAS labda awamalize wote na si rahisi.Anachoogopa siku wakija kupata silaha ndo itakuwa mwisho wa mayahudi.Anawaza iwaje hawana silaha na wako ngangari ?? Je wakizipata ? itabidi mayahudi wakimbilie baharini kama wale panya wa mpiga filimbi wa Hamelini
Ungangari wautoe wapi?Kwa kujibanza kwenye mawowowo .ya akina mama na vitanda vya watoto?Magaidi lazima watokomezwe
 
Huyu ni gaidi,na inasemekana hata wale waliovamia ile sherehe na kuteka watu,ulikuwa ni mpango wake Nyetanyahu,kwa sababu kule kuna ulinzi na camera za kisasa,vipi hawa watekaji Waliingia bila kuonekana?Na ndio maana humsikii kulaumu wala kuwajibisha,wanahusika na ulinzi wa nchi yake.

1. Hoja yako Ina mashiko sana; ila mahsusi kwa tuliosoma Cuba tu.

Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

2. Watajulie wapi haya kina Mpaji Mungu, denoo JG, Mzee kigogo na wafia dini wenzao kutokea jalalani pale?
 
Anapambana na ugaidi. Kumbuka hamas waliuwa watanzania wenzetu wawili wasokua na hatia.
Wale kuna chances walikuwa wanajeshi wa idf , halafu kushirikiana na serikali ya extremist ya israel ambayo hata wazungu wenzao wamewaona kama wamepata ukichaa ni ujinga pia , sasahivi netanyahu kaitia doa sana israel wote tumejua kumbe weupe sana bila ya marekani
Wotw tumejua kwamba wao na hitler hawana tofauti
Huwezi kumwita mtu gaidi kwakuwa anatetea haki zake, hata wasomi wa vyuo vikuu marekani wanaandamana wameshaijua ukweli hakuna cha ugaidi ni wizi wa ardhi na ukoloni ndio kinachofanyika in the name of ugaidi
 
Back
Top Bottom