Zabuni za ununuzi wa ndege hutangazwa wapi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,209
Reaction score
162,781
Hivi ununuzi wa ndege mbili aina ya Bombadier ulifanywa kwa kutumia utaratibu wa kutangaza tender?

Ununuzi wa ndege tatu/nne zilizobaki nao utafanywa bila tender kutangazwa?

Manunuzi ya umma yamewekewa utaratibu wa kutumia tender ambapo kampuni inayoshinda ndio inapewa kazi au jukumu la kufanya manunuzi kwa niaba ya serikali.

Sasa wadau kwenye ununuzi wa ndege hizi,utaratibu huu unafuatwa na kama haufatwi, inatosha tu sisi kuridhika na kuamimi kuwa kila kitu kiko sawa?

Kwanini makampuni ya utengenezaji wa ndege hizi yasishindanishwe kwa uwazi?

Yetu macho na masikio.

Pitieni na hii habari hapa:

MV Dar es Salaam kufa kabla ya kuanza kazi?
 
Hivi ununuzi wa ndege mbili aina ya Bombadier ulifanywa kwa kutumia utaratibu wa kutangaza tender?

Ununuzi wa ndege tatu/nne zilizobaki nao utafanywa bila tender kutangazwa?

Manunuzi ya umma yamewekewa utaratibu wa kutumia tender ambapo kampuni inayoshinda ndio inapewa kazi au jukumu la kufanya manunuzi kwa niaba ya serikali.

Sasa wadau kwenye ununuzi wa ndege hizi,utaratibu huu unafuatwa na kama haufatwi, inatosha tu sisi kuridhika na kuamimi kuwa kila kitu kiko sawa?

Kwanini makampuni ya utengenezaji wa ndege hizi yasishindanishwe kwa uwazi?

Kuna njia ngapi za manunuzi ya umma mbali ya tender unazozifahamu...???
Ningekushauri uwe unafanya literature review kabla ya kukimbilia jamiiforum na ungumbalu wako..
 
Kesho na keshokutwa mambo yakiharibika msitafute visingizio.
Single source unaijua? Ulitaka kununua Toyota si unajua? Kuna muuzaji mmoja tu anayezalisha gari za Toyota duniani ambaye ni Toyota .Ulitaka watu wengi walete quotation za nini wakati si wazalishaji wa Toyota? Hao watakuwa mawakala tu wanaotaka commission unanunua kiwandani moja kwa moja.Ulitaka ndege za bombardier au Boeing zinazalishwa na mmoja tu duniani huwezi taka wengi walete tends watakuwa madalali tu wanaotaka kukukalia wapige cha juu kama commission nk .Inaonyesha upeo wako wa sheria za manunuzi Mdogo mno
 
Asante baba. Kweli wakosoaji wanakuudhi, mpaka umeongea Kiingereza kuonesha msisitizo.
 
Single source unaijua? Ulitaka kununua Toyota si unajua? Kuna muuzaji mmoja tu anayezalisha gari za Toyota duniani ambaye ni Toyota .Ulitaka watu wengi walete quotation za nini wakati si wazalishaji wa Toyota? Hao watakuwa mawakala tu wanaotaka commission unanunua kiwandani moja kwa moja.Ulitaka ndege za bombardier au Boeing zinazalishwa na mmoja tu duniani huwezi taka wengi walete tends watakuwa madalali tu wanaotaka kukukalia wapige cha juu kama commission nk .Inaonyesha upeo wako wa sheria za manunuzi Mdogo mno
Weweee, usifikiri kila mtu ni taahira wa aina yako. WHY TOYOTA?

Usijitoe fahamu kiasi hicho, utakuja kuidhalilisha familia yako. Yapo makampuni mengi ya kutengeneza ndege, zenye sifa, uwezo na gharama tofauti. Bodi za manunuzi, baada ya kupata maombi kutoka kwa kitengo mtumiaji, huzipitia sifa zilizoorodheshwa na wao kuzitangaza kwenye zabuni. Kila mwenye kujiona anacho chombo chenye kukidhi vigezo hivyo, ataingia kushindana. Sasa wewe unaongea utaahira gani hapa?
 
Kwani ni ndege zenu?MNA nchi nyie?tujitoe ufahamu mwenye nazo ni mkulu!tujipange nchi ishapigwa sell
 
Pogba kaamua kuanza upya anadai palichafuka sasa anasafisha asiulizwe anatumia sabuni gani wala ni usafi wa aina gani unafanyika, wengine watawanyike kukimbizana mikoani yeye ataendesha nchi.
 
Kuna mashirika mangapi yanatengeneza bombardier na boeing? Unawashindanisha kina nani kama hununui kupitia mawakala? Tumeamua kununua bombadier na boeing baada ya mashirika kama airbus na Embraer kuleta quotation zao na uamuzi ukawa ni bombadier(mapanga boy) na boeing(kwa mapenzi ya baba mwenye nyumba hii) .Wewe unataka kununua bidhaa ya azam moja kwa moja kiwandani kwao unawatangazia kina nani hiyo tenda ya kununua bidhaa wakati kiwanda kinachotengeza ni kimoja?
Manunuzi ya umma yanakataza kununua kwa single manufacturer? Na kama yanakataza huoni tumeweka utaratibu wa kujiibia wenyewe?.
Kama kununua direct bila kuwashindanisha watu ni kosa basi tulikosea kuweka utaratibu huo na unatakiwa kufutwa mara moja bila hata kusubiria .
 
Back
Top Bottom