Wapiga kura Mataahira wamebakia wachache sana Tanzania na wenye akili timamu wameongezeka mara dufu (exponentially).Mwaka 2015 utakuwa ni mwaka tofauti kabisa kwa Abdul Lowassa kwasababu atakwenda kukutana na sisi Wapiga kura wenye akili timamu na hapo ndipo safari na ndoto zake za siku zote za kutaka kuingia Ikulu ili kufanikisha dili zake na za jamaa zake zitakapokuwa zimekufa rasmi.Trust me Makamba Senior,Your buddy Lowassa will never be the President of this Country as long as we sane Tanzanians live,Never!Tulipuuza onyo la Mwl Nyerere kwa JK leo hii tunaishi kwa majuto makubwa,Tutakuwa zaidi ya Mataahira tukirudia tena makosa ya kusahau onyo la Baba wa Taifa kuhusu Lowassa na kumpeleka Magogoni.Nahisi haya maumivu tunayayapata chini ya Utawala wa Mbayuwayu ni nafuu ukilinganisha na yale tutakayoyapata chini ya Fisi.Tutajuta tukifanya kosa la tukimpeleka huyu Fisi Buchani (Magogoni).