Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Majambazi,wangoa kucha na meno na mafisadi nao pia ni watu.
nazani hayo makundi ndio haswa huyo mzee anayasemea
nazani hayo makundi ndio haswa huyo mzee anayasemea
Birds of the same feathers fly together!!!Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi wa juu ktk serikali.
Kauli hii ya Makamba ni muendelezo wa kile kinachodaiwa kwamba Kambi ya Lowassa ya Urais inachanja mbuga kuelekea Ikulu hapo 2015.
Source; Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti.
wewe nawe..mimi ni chadema damu lakini akiwekwa Lowassa sijui na Wenje kugombea urais namchagua Laigwanan
Wameru ni Wamasai kwa asilimia 100. Sema wameasi toka zamani toka umasaini, ila they are Masai damu damuNani kakuambia Lowassa ni Mmasai,au kwa kuwa anaishi Monduli jimbo lenye Wamasai wengi?
Kwa wale wanaopenda kupotosha ukweli basi mjue Lowassa ni MMERU na sio Mmasai!
Wamasai ni watu waadilifu mno,na wasio na Ukabila na Ubaguzi km wa Lowassa anaejaribu kutugawa watu wa Arusha haswa Wachagga na Wamasai. Ushindwe Mmeru ktk jina la Yesu.
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi wa juu ktk serikali.
Kauli hii ya Makamba ni muendelezo wa kile kinachodaiwa kwamba Kambi ya Lowassa ya Urais inachanja mbuga kuelekea Ikulu hapo 2015.
Source; Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti.
Hili lizee linaloitwa yusufu makamba ni janga la taifa.kwanza ni lifisadi papa...linapenda sana kujipendekeza likiona mahali kuna ulaji.nakumbuka lilijipendekeza kwa kikwete kusudi mtoto wake January apewe uwaziri.hili zee halifai hata kidogo halina uzalendo na nchi.Makamba ni miongoni mwa watu ambao walimrubuni Mkapa baada kupewa kitu kidogo kumchagua EL awe Waziri kipindi kile kwa hatushangai hiyo kauli na Mwendelezo tu wa sinema yao ya ufadhili wa ufisadi ndani ya ccm-Yaani hilo zee limeishi na Nyerere hata haoni aibu kuwapigia kampeni watu wasio waadilifu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umelipwa kiasi gani nami nijiunge kumpigia debeCCM hamna ujanja, chagueni moja either EL awe mgombea wenu for 2015 au chama kife rasmi kama mkithubutu kukata jina kama mlivyozoea.
Mkuu usiulize uadilifu kwa mwalimu mkuu wa shule msingi tuliyeambiwa aliachishwa kazi kwa kumrubuni mwanafunzi wake kimapenzi huko Tanga na hajawahi kukanusha
Hivi mtu kafukuzwa kazi ya Ualimu Mkuu halafu akaishia kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar kwa miaka 12 na Katibu Mkuu wa CCM kwa miaka 8. Sasa hudhani kwamba ameidhihirisha kwa vitendo nadharia ya upiganaji. To me, thats my hero.
You very wrong big-headed moron,It's already known who will fly the Opposition flag.I simply feel sorry for CCM Party coz Lowassa is too strong to stop him from securing his Party's Presidential candidacy once that's done i guarantee you Malecela Junior CCM will lose it badly and in shame the election.
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi wa juu ktk serikali.
Kumbe EL alikuwa waziri mkuu tokea awamu ya 3 ya Ben? Nilikuwa sijui mkuu.
Makamba ni miongoni mwa watu ambao walimrubuni Mkapa baada kupewa kitu kidogo kumchagua EL awe Waziri kipindi kile kwa hatushangai hiyo kauli na Mwendelezo tu wa sinema yao ya ufadhili wa ufisadi ndani ya ccm-Yaani hilo zee limeishi na Nyerere hata haoni aibu kuwapigia kampeni watu wasio waadilifu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums