unazijua kura halisi za uraisi za 2010?- Duh!! guaranteee Chadema will lose it badly hilo wala halina ubishi, maana hakuna mjadala wa Urais zaidi ya wagombea wa CCM, tumia akili kidogo tu nani Strong Candidate wa Upinzani saa hivi kwa nafasi ya Urais?
Le Mutuz