Yusuf Makamba: Lowassa ni mtu wa watu!

Yusuf Makamba: Lowassa ni mtu wa watu!

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi wa juu ktk serikali.

Kauli hii ya Makamba ni muendelezo wa kile kinachodaiwa kwamba Kambi ya Lowassa ya Urais inachanja mbuga kuelekea Ikulu hapo 2015.

Source; Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti.
tumechoka sasa. kila siku lowasa. hakuna jingine?
 
Nani kakuambia Lowassa ni Mmasai,au kwa kuwa anaishi Monduli jimbo lenye Wamasai wengi?
Kwa wale wanaopenda kupotosha ukweli basi mjue Lowassa ni MMERU na sio Mmasai!
Wamasai ni watu waadilifu mno,na wasio na Ukabila na Ubaguzi km wa Lowassa anaejaribu kutugawa watu wa Arusha haswa Wachagga na Wamasai. Ushindwe Mmeru ktk jina la Yesu.

Sokoinei taratibu na nameroi ndugu angu make wameru ni waadilifu sema tu huyu EL ni tabia binafsi
 
uoga tuh,kama nia ya watanzania ni kuiangusha CCM madarakani kwa nin sasa muwazindue?

Watanzania tunasema tumechoshwa na CCM SASA kwanin anapotajwa mtu ambae anaonekana ni anguko la CCM kama lowasa watu mnapiga kelele?kwanin muwazindue?

Kama nia hiyo ipo,waacheni waendelee na plan zao kisha muje kuwahukumu 2015,kila kitu kulalamika tuh,hovyo kabisa
 
Nani kakuambia Lowassa ni Mmasai,au kwa kuwa anaishi Monduli jimbo lenye Wamasai wengi?
Kwa wale wanaopenda kupotosha ukweli basi mjue Lowassa ni MMERU na sio Mmasai!
Wamasai ni watu waadilifu mno,na wasio na Ukabila na Ubaguzi km wa Lowassa anaejaribu kutugawa watu wa Arusha haswa Wachagga na Wamasai. Ushindwe Mmeru ktk jina la Yesu.

Na kila mwenye pumzi na aseme...... AMEN!
 
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi wa juu ktk serikali.

Kauli hii ya Makamba ni muendelezo wa kile kinachodaiwa kwamba Kambi ya Lowassa ya Urais inachanja mbuga kuelekea Ikulu hapo 2015.

Source; Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti.
Khaa!! kweli Lowassa ni mtu wa watu na ni Jembe. Napendekeza Rais ajaye aunde wizara itakayoshughulikia migogoro ya kidini na kikabila na mh Lowassa awe Katibu mkuu wake kwani naona haya anayaweza sana :bored:
 
Makamba ni miongoni mwa watu ambao walimrubuni Mkapa baada kupewa kitu kidogo kumchagua EL awe Waziri kipindi kile kwa hatushangai hiyo kauli na Mwendelezo tu wa sinema yao ya ufadhili wa ufisadi ndani ya ccm-Yaani hilo zee limeishi na Nyerere hata haoni aibu kuwapigia kampeni watu wasio waadilifu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwani kesi ya mimba kwa mtoto wa shule ilimalizwaje?
 
Habari wana bodi,hapa siandiki mengi, lakini ya mzee Makamba kwamba Lowasa ni mtu wa watu ni ya kusafisha njia kueleka 2015 pasi na shaka yoyote,sasa ni hivi mimi nitagombea ubunge lakini kama huyu mtu atagombea urais, nitageuka frontier kufundisha watanzania wote madhara ya kuwekwa huyu mv, kwanza najua ameingia mkenge maana anayo yafanya ni kinyume cha upendo hata unao hubiriawa na mwenge kabla ya Mungu.

Walah nasema, ccm kama mkimleta EL, vita yenu haitakuwa na CDM pekee, bali wazalendo wote. Mashaka juu ya mtu huyu ni mengi, itoshe tu kusema kwamba hafai hata.

Huo ndo ukweli hakuna kama eddo

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
hahahaaaah Great thinker wa ccm , nasikia ndio role model ya watendaji ndani ya chama chao kinachozama
 
Huo ndo ukweli hakuna kama eddo

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

watu wenye akili zilizofubaa huwaza sawa na wewe
249166_3194538225964_888897472_n.jpg
 
Freedom of Expression well utilised by Bw Makamba...kila mtu anahaki ya kusema lake la moyoni.
 
Alichomolewa kazini akiwa kigoma na Afisa Elimu mmoja anitwa KARIGITA. Cha kujiuliza kwanza ili tupime anayoyasema kama ni anamjua mtu wa watu. Je, yule mtoto alimuoa na kama alimuoa huyo mtoto aliyesaliwa na mtoto yuko wapi?
Mkuu usiulize uadilifu kwa mwalimu mkuu wa shule msingi tuliyeambiwa aliachishwa kazi kwa kumrubuni mwanafunzi wake kimapenzi huko Tanga na hajawahi kukanusha
 
Jamani, Tuliangalie jambo hili kwa umakini unaostahili. Tuweke maslahi ya Taifa mbele. Tukiangalia rasilimali zote tulizo nazo Tanzania tunastahili kuwa hapa tulipo?! Tujiulize, kwanini tupo hapa? Ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi na viongozi bora. viwili tunavyo, watu safi tena wengi 45Mil, ardhi safi yenye kila neema. UONGOZI HAKUNA. tatizo ni hilo tu. Botswana, Afrika kusini wana nini, kwanini sisi tusiwe kama wao tuna NINI? TUNA shida gani?! Wenzetu wana viongozi sisi bahati mbaya hatuchagui viongozi. TUMELALIA MWENZETU, KUPIGA RAMLI NA USHABIKI USIOKUWA NA MAANA. ccm na wanaoiongoza wamechoka! SHIME, TUWAWEKE PEMBENI KWA SANDUKU LA KURA 2015!
 
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi wa juu ktk serikali.

Kauli hii ya Makamba ni muendelezo wa kile kinachodaiwa kwamba Kambi ya Lowassa ya Urais inachanja mbuga kuelekea Ikulu hapo 2015.

Source; Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti.

Makamba huyo huyo aliyemnanga vilivyo Lowassa wa mkutano mkuu wa CCM uliopita? Kulikuwa na njama za kmumwondoa Kikwete na Makamba alitumika kumfinyanga Lowassa ili Kikwete apete. Sasa EL amekuwa mtu wa watu tena. Ama kweli kwenye siasa hakuna msimamo wa kudumu bali maslahi ya kudumu
 
Inatosha mpendwa Naghenjwa,naomba useme masai anakwenda kuwa mgombea kupitia CCM sio kwenda magogoni,magogoni 2015 tunampa mtu na Chama kiadilifu sio hichi kinachoshindwa kununua vitanda mahospitalini na kuishia kuahidi bajaji kama ambulance za kubebea wake zetu wajawazito.....
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Sifongo nakubaliana na wewe kwaujumla sisim kwasasa ikohoi kuliko mgonjwa aliyeko icu, hilo halina mashaka na mimi kitakacho sababisha niingie kwenye siasa ni twiga waliotoroshwa tena mchana, hili huwa linanikera sana haya ni matusi wametutukana inamaana baada ya ile ndege yakijeshi ya qatar kuingia ardhi ya tz mawasiliano yalikatika nchi nzima?? anyway nikirudi upande wa el nikwamba kwasasa hana mpinzani huko kwa magamba na akipitishwa nimtu mwenye strategy za hatari anajua afanye nini ili aweze kushinda tutahitaji kulinda kura kwa kiwango cha juu kabisa litakuwa sio swala la mchezo.
 
Mimi kama Kigwangala, siwezi kumpa kura yangu Lowassa!
 
Mnamwogopa sana El sio,ndo rais ajae tena kwa kura nying pigen kelele mwenzen alizaliwa aiongoze Tz,Slaa alizaliwa awe mtumish wa Mungu mazma!kataa uone
 
Back
Top Bottom