Yussuf Manji, Omba Toba

Hivi kwanini waislam mnapenda kulalama sana? Hiyo EAMWS si mlishindwa wenyewe kuanzisha kwa upunguani wa viongozi? Leo mnamtupia lawama nani?


Hiyo post uliyoijibu wapi inaongelea EAMWS?
 
Acha kupiga ramli, kuna watu yamewakuta makubwa kuliko ya Manji na hawakudhulumu cha mtu. Hakuna binadamu ambaye hajapitia magumu ktk kipind mlichonung'unika naye. Mbilia alishaimba: 'Maisha ni kupanda na kushuka'. Huwezi kuwa juu kila siku. Manji, Mengi na hata Bakhresa ni matajiri waliowahi kukumbwa na maswahibu katika maisha yao ya kibiashara na bado walipambana na kusonga mbele.
 
hili eneo la chango'mbe lininiuma sana pamoja kwamba si mwislamu na kila nikimuona huyu jamaa nikikumbuka hasira yangu kwake inakuja.
sijui kwa kuwa nilikulia maeneo hayo sasa walaka huu uende na yule aliyejimegea eneo la msikiti akafanya shule ya kwake arudishe pia.
 

= waraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…