Yussuf Manji, Omba Toba

unaakili wewe? unaacha fursa nyumbani uende sauzi,ukirudi umekamatwa na unga!
 

Juma Duni kwanini kahama chadema?
 
Juma Duni kwanini kahama chadema?
Mama! mission accomplished, yule aliingia Chadema kwa makubaliano kwamba yeye awe mgombea mwenza maana katiba isingeruhusu awe mgombea mwenza akiwa Cuf, sioni ubaya hapo.. Kwani msingi haswa wa kuuliza hivo ni nini?
 
Kumbe tatizo ni viwanja alivyouziwa na bakwata basi harudishi kwa sababu sio kosa lake bali ni kosa la bakwata

Mwislam anao muongozo madhubuti unao muongoza sio kama wale wanoa amini ktk mafumbo, yeye anajua fika kuwa Bakwata hawna mali yeyote wao ni watunzaji wa mali za waislam, na hawana haki yeyote ya kuuza mali za waislam kwa maana hiyo Manji na Bakwata walishirikiana kuwaibia waislam ardhi yao,
 
Hawa Bakwata na huyo msamaria mwema wa kikombe hawawezi kuwafaa Waislam kwa chochote uziri waislam tunafaidi sana na kitabu chetu
Hawo Bakwata na jamaa yao msamaria Allah kaisha tueleza ktk Quran 4:138,139 inasema: "WAAMBIE WANAFIKI KWAMBA WATAPATA ADHABU INAYO UMIZA (wanafiki) AMBAO HUWAFANYA MAKAFIRI KUWA MARAFIKI BADALA YA WAISLAM JE WANATAKA WAPATE UTUKUFU KWAO ? BASI UTUKUFU WOTE NI WA MWE NYEZIMUNGU ( hauko kwenye mikono ya mtu)
 
Ben Saanane kamuulizie kwa boss wake, Mbowe.

Mbowe pale Bilicanas ni zaidi ya ufisadi uliokuwa ukitendeka, vitoto vidogo vingi vimeharibikia pale.

Dua zimekubaliwa.
Kati ya watu wasio na fikra wewe unaongoza,ni unafiki tu umekujaa na udini pia.
Hakuna dua yoyote iliyosikika, Nimeshakuambia Mungu huwa hasikilizi magaidi Kama nyie .
Ni watoto gani waliharibika Bilicanus?
Kwa upeo wako mdogo umeona Tanzania nzima sehemu ya starehe ni Bilicanus tu?
Una ubongo Wa samaki kweli wewe, huoni watoto walioharibika Kwa kushinda mitaani wakiuza karanga badala ya kwenda Shule?
huoni watoto walioharibika Kwa kuuza baa baada ya maisha kufanywa magumu na green devils?
Umeshatembea mikoa na vijiji vingapi wewe Tanzania hii ukajionea jinsi watoto Walivyo haribiwa na maisha magumu Kwa Sababu ya mafisiemu?
kuna mtoto angeweza kwenda Bilicanus enzi zake? wewe uliwahi kwenda Bilicanus ukakuta watoto?
Hiyo dini yenu ndo inaharibu watoto ,mnawafundisha ugaidi na kukariri Quran, wakifeli Elimu dunia Kwa Sababu muda mwingi wanakaririshwa Quran, mnaijia juu serikali eti inawafelisha makusudi Kwa Sababu ni serikali ya mfumo kristo.
Watu wa hovyo Sana nyie.
Mbowe amekuwa serikali hadi amtafute Ben saanane? Kwa hiyo serikali haina jukumu la kulinda raia wake kumbe ni jukumu la Mbowe?
if Mbowe is the case about his disappearance, why don't you get him held responsible if so far you have evidence na ni Jamhuri?
Usidhani watanzania bado wajinga Kama zamani, watu wameamua kukaa kimya maana hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
Halafu sijui huwa Unaona fahari kushinda humu unatetea ujinga na hijabu yako hiyo, eti na wewe ni mke wa mtu, huyo aliyekuoa wewe he must be a silly husband, you can't wed to such a woman that spends most of her time being into social networks and putting up with folly things.
 
Mtoa mada yuko sahihi Manji aliamini sana kutumia pesa sake kufanya dhuluma alisahau malipo ni hapahapa arudi aombe toba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…