Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?

Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?

Simkumbuki huyo jamaa ila huyu mganda odong alinikuta namalizia shule pale 2006 tulikua nae pale hall 6 .mwenyewe anajiita black fire sijui yuko wapo nasikia alikamatwa na kadi za ccm akapigwa deportation.siasa za udsm ziliwapoteza vijana wengi sana.
 
Kijicho nishawai kumuona pande fulani za Golani nyuma ya chuo huku karibu na msewe!!!!amechoka kinyama na hajarudishwa chuo mpk leo!!!!!!anakaa na mwanaharakati mwenzie anaitwa Bocassa!!maisha yao ni magumu sana!!Bocassa baada ya kufukuzwa chuo sasa ni dereva bodaboda!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Maisha ya vijana wetu wengi yameharibika kutokana na system ya nchi hii,mtu unajaribu kufanya mabadilika chanya unaishia kufichwa nyambafuuu,na ukishanyanganywa elimu,nguvu ya kiuchumi kuipata pia ni bahati na ukiwa huna hata nguvu ya kiuchumi unavaa masulupwete,uko shaby unafikiri nani anaweza kukusikiliza hata kama una point,The TZ system sucks
:embarassed2:
 
m namfaham gwalusako aliekua miongon mwa akina alshababu na kina kijicho,tulikua tunakaa mtaa 1 mwenge mpakan lakin baadae akahamia mwananch tazara,saiz namwona fb anaendelea na harakati kama kawa ila nahis yuko bavicha kwa kua kipind cha uchaguz wa bavicha alikua bize sana na kupost sera zake,nazan yupo mbeya ila sina uhakika sana
 
Kawambwa aliungua na jua wanafunzi walishusha kivuli alichokuwa ameandaliwa, Tuliwarushia FFU/Police chupa za maji wakati wanamrunda Kawamba aondoke eneo la tukio. Walirusha mabomu ya machozi balaa... Siku ile nilikoswa koswa na bomu la machozi likaanguka pembeni yangu (Sita sahau aisee).
Ulikuwepo kwenye ule mgomo wa kudai 10,000 tukapewa 7500? hadi kawambwa akaja pale swimming pool? Ulikuwa mwaka wa ngapi?

Huu mgomo nilikuwepo. Nilikoswa kwenda sello.
 
Kawambwa aliungua na jua wanafunzi walishusha kivuli alichokuwa ameandaliwa, Tuliwarushia FFU/Police chupa za maji wakati wanamrunda Kawamba aondoke eneo la tukio. Walirusha mabomu ya machozi balaa... Siku ile nilikoswa koswa na bomu la machozi likaanguka pembeni yangu (Sita sahau aisee).

Ule ndo ulikuwa mgomo wangu wa kwanza na wa mwisho. Nilibeba chupa ya maji ili kikinuka nisiumie sana.
 
huyo odwang alikuwaga mtoto wa joseph koni wa lord resistance army??maana nilikuwaga bado sijajiunga hapo ila story zake nilipata juu juu
Alie mchallenge kipala ni Rich..kaemba kagraduate 2009 wakati huo kipala alikuwa underground tu kama sikosei alikuwa first year
 
Japo simkumbuki Kaemba lakini Udsm ya 2006-2010 ilikuwa balaa tupu kila semista lazima mgomo na maandamano na kila mwaka chuo kufungwa... peoplez kama Mtatiro(PM), Deo Daud (rais), Odong, Bush, Dady Igogo, Owawa, Silinde, Aristotle, n.k ziliyumbisha utawala wa chuo na serikali. karibu kila mwanachuo alikuwa mwanaharakati naikumbuka Red guard ya Mtatiro nikiwa first year tulifanya makubwa ya kuwatia mboko students na malekchara wapinga migomo. katika uwepo wangu udsm chuo kilifungwa mara 2 sababu ya migomo tukarudishwa nyumban 2007 na 2008. saa hizi sijui matatizo yameisha chuoni au wanafunzi radicals ndo wameisha??

2007/2008 ule mgomo ulituweka uswahilini kama mwezi mzima hivi...
 
Hako Ka-bush kameajiriwa utawala udsm.

Tena nakumbuka na kikauli chake kimoja alisema wakati fulani "AKIFA MWILI WAKE UZIKWE UTAWALA" wataalam wa mambo wakaamua kumzika palepale utawala kabla ya kifo chake tena na jeneza lilelile la HESLB.
 
Kuna watu uharakati wao ulihamasishwa na mob psychology ya UDSM, nje ya UD! they are nothing!. Wako wapi kina Sikitiko Kapile , Emile Kivugo, kina Bazigiza baada ya UDSM?!.
P.

Huyo Sikitiko kapire,,,Now yupo anaishi tegeta masaiti ana Ghorofa, anayaendesha maisha yake,,but now umri umemtupa sana,,
 
bush kawa fala sana saiv..kaajiriwa na utawala..kuna kipindi alienda marekani kusoma nadhani.
 
bush kawa fala sana saiv..kaajiriwa na utawala..kuna kipindi alienda marekani kusoma nadhani.
 
Ulikuwepo kwenye ule mgomo wa kudai 10,000 tukapewa 7500? hadi kawambwa akaja pale swimming pool? Ulikuwa mwaka wa ngapi?

Huu mgomo nilikuwepo. Nilikoswa kwenda sello.
Hahahha vijana kwa harakati mnajiweza lohh...tafrani hz tulikua tunajifungia room juu tunawachekii
 
Back
Top Bottom