masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,823
- 16,890
Ulikuwepo kwenye ule mgomo wa kudai 10,000 tukapewa 7500? hadi kawambwa akaja pale swimming pool? Ulikuwa mwaka wa ngapi?
Huu mgomo nilikuwepo. Nilikoswa kwenda sello.
nilikuwepo mkuu kawambwa anaanza kwa kusema eti mimi nilikuwa nafundisha hapo injinia unakumbuka mkutano ulifanyika karibu na injinia na mabomu yaliyorushwa yaliunguza yale majani ya pale,watu wanamwambia ulikuwa mkufunzi na si mwanafunza kauli tunayoielewa ni elfu 10 tu
unakumbuka richi na bamgo lake mpaka bodi akidai elfu 10
unakumbuka gari la maji ya kuwasha lilieka kambi pale getini??geti maji
unakumbuka slogani ya KIBONDE AUWAWE tangu kipindi kile sijawahi sikiliza clouds