kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 908
- 1,937
Me nimemkumbuka sana huyu Mganda Odwagi Odor.Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)
Mwenye habari kumuhusu huyu jamaa atujuze.
Nilipewa simulizi take kwa ufupi na Dada yangu aliyepitia Udsm enzi hizo.
Mwenye kumjua huyu mganda atujuze zaidi.