Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?

Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,317
Kwa mlio kuwa UDSM kati ya 2006/2007 hadi 2009/2010 nadhani mtakuwa mnakumbuka huyu jamaa, anaye enda kwa jina la KAEMBA KASINYE KATUMBO a.k.a TRIPLE KA. Alikuwa ana soma PS HISTORY ( edit please).

Tulikuwa tunamkubali sana jamaa kwa harakati zake pale Udsm. Nilikuwa nakubali zaidi His Fighting Spirit. Alikuwa haogopi kusema au kufanya chochote ili mradi tu anasimamia haki.

Alikuwa pia maarufu kwa makala zake za kiharakati alizo kuwa anazibandika katika maeneo mbalimbali ya chuo kama vile kwenye notice board ya cafeterias, halls, n.k. Anakumbukwa sana kwa bandiko lake maarufu " USONONI WA KAEMBA" ambapo alimchana sana mkalia-ndala , baadhi ya viongozi wa Daruso na wanafunzi wasaliti. Mambo aliyo yafanya ni mengi sana.

Tangu mwaka 2009, sijasikia chochote kuhusu huyu jembe.

Any one know about him please?
 
Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)
 
Najaribu kujiuliza wanaharakati kama hawa wanakwenda mashuleni tunategemea magamba na endelezo la unyonyaji kwa hawa wakoloni weusi wa kijani 2015?yangu macho na masikio pamoja na hisia!
 
Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)

Aliwahi kupeleka muswaada wa kitabu chake pale DUP. Jina la kitabu " BUNGE LA MABWEGE NA KURA ZA CHEKECHEA ". Mhariri wa DUP alimtolea nje kwa sababu sumu alizomwaga humo hazikuwa za kitoto. Jamaa anajua sana. Nayakumbuka matukio yake ya hatari mengi sana pale UDSM.
 
Kuna watu uharakati wao ulihamasishwa na mob psychology ya UDSM, nje ya UD! they are nothing!. Wako wapi kina Sikitiko Kapile , Emile Kivugo, kina Bazigiza baada ya UDSM?!.
P.

Kaka lakini sio kwa mtu kama Kaemba, yule jamaa alikuwa noma sana kaka. Ungepata bahati ya kufahamiana nae ungemkubali
 
Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)

Magu shule gani? Lkn mie simfaham. Kwangu mie maarufu walikuwa owawa, mtatiro, bushi, na odwaa! Ni harakati zao zilifanikisha kuwepo kwa means testing results, ni harakati zao wanafunzi wa vyuo private walianza kupata mikopo na ni harakati zao hadi div iii walianza kupata mikopo. Kabla ya hapo ilikuwa 1 kwa social science na 2 kwa science na ualimu.
 
Japo simkumbuki Kaemba lakini Udsm ya 2006-2010 ilikuwa balaa tupu kila semista lazima mgomo na maandamano na kila mwaka chuo kufungwa... peoplez kama Mtatiro(PM), Deo Daud (rais), Odong, Bush, Dady Igogo, Owawa, Silinde, Aristotle, n.k ziliyumbisha utawala wa chuo na serikali. karibu kila mwanachuo alikuwa mwanaharakati naikumbuka Red guard ya Mtatiro nikiwa first year tulifanya makubwa ya kuwatia mboko students na malekchara wapinga migomo. katika uwepo wangu udsm chuo kilifungwa mara 2 sababu ya migomo tukarudishwa nyumban 2007 na 2008. saa hizi sijui matatizo yameisha chuoni au wanafunzi radicals ndo wameisha??
 
Jamani mtatiro c ni Mwenyekiti wa chama flani hapa tz...nadhani bado amekomaa na siasa
 
Mtu asiyepatikana kwenye google search sio maarufu! Huyo KAEMBA KASINYE KATUMBO hapatikani zaidi ya kwenye thread hii katika google
 
Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)

huyo odwang alikuwaga mtoto wa joseph koni wa lord resistance army??maana nilikuwaga bado sijajiunga hapo ila story zake nilipata juu juu
 
Japo simkumbuki Kaemba lakini Udsm ya 2006-2010 ilikuwa balaa tupu kila semista lazima mgomo na maandamano na kila mwaka chuo kufungwa... peoplez kama Mtatiro(PM), Deo Daud (rais), Odong, Bush, Dady Igogo, Owawa, Silinde, Aristotle, n.k ziliyumbisha utawala wa chuo na serikali. karibu kila mwanachuo alikuwa mwanaharakati naikumbuka Red guard ya Mtatiro nikiwa first year tulifanya makubwa ya kuwatia mboko students na malekchara wapinga migomo. katika uwepo wangu udsm chuo kilifungwa mara 2 sababu ya migomo tukarudishwa nyumban 2007 na 2008. saa hizi sijui matatizo yameisha chuoni au wanafunzi radicals ndo wameisha??

tangu naingia 2010 migomo ilikuwa mingi kupindukia lakini hawakuwahi kufunga mpaka nilivyomaliza mwaka jana
kumbe walikuwa wanatafuta pamanenti solution weeeeee

tuligoma mgomo wa elfu 10 ikaongezwa elfu 2500 ikawa elfu 7 katika ile elfu 5

sasa kakaja kamgomo kadogo tu kakugomea watu ambao hawakuwekewa bumu kwa kuwa hawaku update na board sitasahau kwenye maisha yangu nilikimbia kilometa nyingi sana mpaka external kutoka chuo kwani bibo hakukalika wala chuo watu walisombwa segerea mpaka naandika reply hii watu walifukuzwa chuo na mpaka leo hawajarudishwa ikiwemo viongozi

na hadi sasa hawajaweza kujiunga kwani walinyimwa mikopo hata kama wamesamehewa na chuo

wengine ndo wako first year

mgomo uliongozwa na alishababu na kijicho

revo skwea ikapigwa marufuku yaani dah mwaka wa mwisho tuliishi kwa uoga wakaweka mashushu

yaani mpaka mgomo utokee pale sijui

walioko third sasa kipindi hicho walikuwa mwaka wa kwanza
 
Ulikuwepo kwenye ule mgomo wa kudai 10,000 tukapewa 7500? hadi kawambwa akaja pale swimming pool? Ulikuwa mwaka wa ngapi?

Huu mgomo nilikuwepo. Nilikoswa kwenda sello.
 
tangu naingia 2010 migomo ilikuwa mingi kupindukia lakini hawakuwahi kufunga mpaka nilivyomaliza mwaka jana
kumbe walikuwa wanatafuta pamanenti solution weeeeee

tuligoma mgomo wa elfu 10 ikaongezwa elfu 2500 ikawa elfu 7 katika ile elfu 5

sasa kakaja kamgomo kadogo tu kakugomea watu ambao hawakuwekewa bumu kwa kuwa hawaku update na board sitasahau kwenye maisha yangu nilikimbia kilometa nyingi sana mpaka external kutoka chuo kwani bibo hakukalika wala chuo watu walisombwa segerea mpaka naandika reply hii watu walifukuzwa chuo na mpaka leo hawajarudishwa ikiwemo viongozi

na hadi sasa hawajaweza kujiunga kwani walinyimwa mikopo hata kama wamesamehewa na chuo

wengine ndo wako first year

mgomo uliongozwa na alishababu na kijicho

revo skwea ikapigwa marufuku yaani dah mwaka wa mwisho tuliishi kwa uoga wakaweka mashushu

yaani mpaka mgomo utokee pale sijui

walioko third sasa kipindi hicho walikuwa mwaka wa kwanza

Kijicho nishawai kumuona pande fulani za Golani nyuma ya chuo huku karibu na msewe!!!!amechoka kinyama na hajarudishwa chuo mpk leo!!!!!!anakaa na mwanaharakati mwenzie anaitwa Bocassa!!maisha yao ni magumu sana!!Bocassa baada ya kufukuzwa chuo sasa ni dereva bodaboda!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom