Yupo wapi mwanahabari na aliyekuwa DC, Novatus Makunga?

Atakuwa anapambana na maisha mapya.....kurudi media hawezi ametolewa DC basi anapambana tu na maisha
 
Habari zenu familia ya JF. Wenye kujua alipo mwanahabari na DC Nocvatus Makunga atujuze.

Namkumbuka sana alikuwa mwana taaluma mzuri wa habari akifanyia kazi ITV na Redio One na baadae JK akamteua DC Hai.
Kwa kawaida mtu akiteuliwa na rais katika wadhifa wowote wa kisiasa, anakuwa kwenye wadhifa huo on secondment, uteuzi ukiisha, anarejea katika kazi yake ya zamani kabla ya uteuzi, ila atapokelewa tuu iwapo ile nafasi yake bado ipo, ama kama anaweza kutafutiwa nafasi nyingine.

Wana habari ma DC katika uteuzi wa JK ni
1.Halima Kihemba- Alikuwa RTD, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amestaafu rasmi
2.Sarah Dumba- Alikuwa RTD, alifariki akiwa DC.
3. Betty Mkwassa- Alikuwa ITV, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amefungua ofisi yake.
4. Suleiman Kumchaya- Alikuwa RTD, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amestaafu rasmi
5. Suleiman Mzee- Alikuwa RTD, huyu anaendelea.
6. Shabani Kissu- Alikuwa TBC, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amerejea TBC
7. Jaquline Liana- Alikuwa Uhuru, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amerejea Uhuru.
8. Novatus Makunga- Alikuwa ITV baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amejiunga na Star TV.
9. Muhingo Rweyemamu- Alikuwa Mtanzania, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amestaafu rasmi
10. Lucy Mayenga- Alikuwa Majira, baada Magu kuingia, aliomba asiteuliwe, sasa ni mbunge wa viti maalum.

Paskali
 
Paskali asante maana uandishi kama ualimu haufi na jinsi unvyozeeka ndivyo unakuwa mzuri na mwelidi kuliko hawa wa kizazi kiinukacho
 
Kwa kawaida mtu akiteuliwa na rais katika wadhifa wowote wa kisiasa, anakuwa kwenye wadhifa huo on secondment, uteuzi ukiisha, anarejea katika kazi yake ya zamani kabla ya uteuzi, ila atapokelewa tuu iwapo ile nafasi yake bado ipo, ama kama anaweza kutafutiwa nafasi nyingine.

Wana habari ma DC katika uteuzi wa JK ni
1.Halima Kihemba- Alikuwa RTD, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amestaafu rasmi
2.Sarah Dumba- Alikuwa RTD, alifariki akiwa DC.
3. Betty Mkwassa- Alikuwa ITV, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amefungua ofisi yake.
4. Suleiman Kumchaya- Alikuwa RTD, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amestaafu rasmi
5. Suleiman Mzee- Alikuwa RTD, huyu anaendelea.
6. Shabani Kissu- Alikuwa TBC, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amerejea TBC
7. Jaquline Liana- Alikuwa Uhuru, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amerejea Uhuru.
8. Novatus Makunga- Alikuwa ITV baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amejiunga na Star TV.
9. Muhingo Rweyemamu- Alikuwa Mtanzania, baada ya kutoteuliwa na Magu, sasa amestaafu rasmi
10. Lucy Mayenga- Alikuwa Majira, baada Magu kuingia, aliomba asiteuliwe, sasa ni mbunge wa viti maalum.

Paskali
Usisahau pia na hawa wengine kama Hamad Kipozi nk.
 
Kutoka kuwa ripota kwenda kuwa DC, then aganain, kutoka Kuwa DC kurudi tena kuwa ripota!..kama kumbukumbu zangu zipo sawa...hakuwa na mahusiano yenye afya na waandishi kwenye wilaya aliyokuwa DC....Maisha ya kisiasa bhana....
 
Back
Top Bottom