Ranfried masako yupo Mbagala anaishi hukoNa yule wa radio one anaependa suruali za kufungia mabegani yupo wapi? Jina limenitoka kidogo, niliyapenda sana mahojiano yake radio one
Juzi nilimuona Mama Africa,amezeeka ,alikuwa na lijamaa flani ndo linamsaidia saidia,mama bado yupo na kizungu chakeMama Thecla Gumbo, Mama Nelly Kiwelu
Shabani kisu ni DC wilaya ya chemba dodomspia wako wapi kina Ezekiel Malongo aliyekua mtangazaji wa mpira?? na Swedi Mwinyi,Shabani Kisu?
Alitemwa Magu alipoingia madarakani, 2015! Jana alikuwa Mc sherehe za kuzima mwenge na maazimisho ya miaka 18 ya kifo cha Mwl. Nyerere!Shabani kisu ni DC wilaya ya chemba dodoms
Habari zenu familia ya JF.
Mtakumbuka miaka ya nyuma haswa miaka ya tisini na elfu mbili alikuwepo mtangazaji na mwandishi Jacob Tesha.
Aliwahi kutangaza Radio Tanzania yaani RTD na baadae kuwa mwandishi wa waziri mkuu Sumaye. Sijamsikia siku nyingi na sijui chanzo cha ukmya wake.
Mwenye kujua yupo wapi atujuze.
Pamoja na steven lyimo...pia wako wapi kina Ezekiel Malongo aliyekua mtangazaji wa mpira?? na Swedi Mwinyi,Shabani Kisu?
Kukaa kote Ulaya bado hakuacha uswahili ?Jibu sahihi kutoka kwa mtu sahihi hili hapa:
Mzee Jacob Tesha alishastaafu kazi ya Uandishi na Utangazaji na hivi sasa ametulia kwake hapa Ubungo Msewe.
Kama mnapajua Msewe Chinatown Pub (achana na Connection, kwa chini yake sasa).
Hiyo Chinatown Pub ni sehemu ya Eneo la nyumba yake pale...
Mimi naongea kama ex-Mpangaji wake (maaana ana nyumba kwa chini pale (Nyuma ya hiyo Pub) anapangisha wanafunzi wa UDSM.
Nimehama pale Mwaka jana, na juzi nimepita nimemkuta anajipoza na Bia bariiidi...
Sema mzee Mswahili sana.. Maji anatulipisha 10,000 kwa mwezi halafu anafungulia mara mbili tu kwa week... Ndio sababu ya mie kuhama pale kwake..
Hivo Basi... Mzee Tesha yupo kwake Ubungo Msewe Chinatown Pub.
Ni wa kitambo sana, huwa kuna dada namsikiaTBC anatumia ubini wakeJacob Tesha ni mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA
Kwa listi hii we ni mhenga kama mimi.Umenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
Halima mchuka mkuu.BEN KIKO
MICHAEL KATEMBO
MSHINDO MKEYENGE
NADHIR MAYOKA
SANGO KIPOZI
SALAMA MFAMAO
ROSE MKUCHIKA
ROSE MCHUKA
MOHAMED JONGO
OMARI JONGO
MIKIDADI MAHAMOUD
WAPO WAPI?
Reyfred Masako huyo alikuwa ITVNa yule wa radio one anaependa suruali za kufungia mabegani yupo wapi? Jina limenitoka kidogo, niliyapenda sana mahojiano yake radio one
Habari zenu familia ya JF.
Mtakumbuka miaka ya nyuma haswa miaka ya tisini na elfu mbili alikuwepo mtangazaji na mwandishi Jacob Tesha.
Aliwahi kutangaza Radio Tanzania yaani RTD na baadae kuwa mwandishi wa waziri mkuu Sumaye. Sijamsikia siku nyingi na sijui chanzo cha ukmya wake.
Mwenye kujua yupo wapi atujuze.
Hawa wametangulia "kwa fundi"
1 Omary Jongo
2.Karim Best a
3.Nadhir Mayoka
4.Salama Mfamao
5. Siwatu Luanda
6. Michael Katembo
7.Nelly Kidela
8 Hendrick Libuda
9.Ahmed Jongo
10.Juma Ngondae
11. Chisunga Steven
12. Abisae Steven
13. Steven Lyimo
14. Florian Kaiza
15. Halima Mchuka
16.Julius Nyaisanga
NB.. Nimebaki Mimi
Mafundi
1. Victor Mpanju
2. Salehe Libuhi
3. Juma Bundala
4. Juma Bungala
5.Consalva Mwereke
6.Edward Kwelasa
8. Kayanda
9. Gaville
NB.. Nimebaki mimi
Aloysia Maneno na Deborah MwendaKuna kipindi cha watoto rtd kilikuwa kinaitwa mama na mwana, yule mama mwendeshaji alikuwa anaitwa nani?
Mara nyingi ilikuwa saa nane mchana na moja ya hadithi tamu wakati huo ni pamoja na "ua jekundu" na mfalme mmoja kijana wake aliyeoa binti chura
Kipindi cha Mama na Mwana. Kilikuwa kinaongozwa na nani vile. Unaikumbuka hadithi ya Kibibi jitu na hadithi BulichekaUmenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma