Yupo wapi Mtangazaji na Mwandishi Jacob Tesha?

Yupo wapi Mtangazaji na Mwandishi Jacob Tesha?

Umenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
Suzanne Mongi wa ITV naye sijui yupo wapi?
 
Back
Top Bottom