Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,671
Pamoja na steven lyimo...
Umenikumbusha ripota wa mambo mseto kutoka Moshi, Nechi Lyimo sijui naye yuko wapi
Pamoja na steven lyimo...
Deborah mwendaAloysia Maneno na Deborah Mwenda
Aloysia Maneno na Deborah Mwenda
Ezekiel Malongo nadhani amekufapia wako wapi kina Ezekiel Malongo aliyekua mtangazaji wa mpira?? na Swedi Mwinyi,Shabani Kisu?
Alienda kwako malinyi kugombea ubunge kupitia ugamba kapigwa chiniRainfred Masako (yupo dar ni mstaafu siku hizi)
Tumbo Tamimu Risasi nadhani RukwaMzee David wakati pia umemsahau, haya kule kanda ya Tabora kulikuwa na BenKiko unamkumbuka?
Umenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
Tena ulevi wa gongopoa aise...naskia alifukuzwaga RTD kutokana na ulevi?
Kwa listi hii we ni mhenga kama mimi.
RIPHawa wametangulia "kwa fundi"
1 Omary Jongo
2.Karim Best a
3.Nadhir Mayoka
4.Salama Mfamao
5. Siwatu Luanda
6. Michael Katembo
7.Nelly Kidela
8 Hendrick Libuda
9.Ahmed Jongo
10.Juma Ngondae
11. Chisunga Steven
12. Abisae Steven
13. Steven Lyimo
14. Florian Kaiza
15. Halima Mchuka
NB.. Nimebaki Mimi
Mafundi
1. Victor Mpanju
2. Salehe Libuhi
3. Juma Bundala
4. Juma Bungala
5.Consalva Mwereke
6.Edward Kwelasa
8. Kayanda
9. Gaville
NB.. Nimebaki mimi
Bado yupo na anaripoti mseto kama kawaUmenikumbusha ripota wa mambo mseto kutoka Moshi, Nechi Lyimo sijui naye yuko wapi
Bado yupo na anaripoti mseto kama kawa
Sijui kwa kweliAmeacha kilaji
Ripota wa TaboraTumbo Risasi.
Hili jina lilikuwa likinishangaza sana!
Sijui kwa kweli
Ripota wa Tabora
Hao Wengi wametanguliaUmenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
alishafarikiKuna huyu David Wakati pia