mchecheto
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 1,532
- 1,479
Utakuwa wwJibu sahihi kutoka kwa mtu sahihi hili hapa:
Mzee Jacob Tesha alishastaafu kazi ya Uandishi na Utangazaji na hivi sasa ametulia kwake hapa Ubungo Msewe.
Kama mnapajua Msewe Chinatown Pub (achana na Connection, kwa chini yake sasa).
Hiyo Chinatown Pub ni sehemu ya Eneo la nyumba yake pale...
Mimi naongea kama ex-Mpangaji wake (maaana ana nyumba kwa chini pale (Nyuma ya hiyo Pub) anapangisha wanafunzi wa UDSM.
Nimehama pale Mwaka jana, na juzi nimepita nimemkuta anajipoza na Bia bariiidi...
Sema mzee Mswahili sana.. Maji anatulipisha 10,000 kwa mwezi halafu anafungulia mara mbili tu kwa week... Ndio sababu ya mie kuhama pale kwake..
Hivo Basi... Mzee Tesha yupo kwake Ubungo Msewe Chinatown Pub.
Ni huyuhuyu member mwenzetuPasco Mayalla ndio huyu huyu wa JF ama ni mwingine......
kama ni huyu wa humu basi ni kijeba
Rainfred Masako (yupo dar ni mstaafu siku hizi)Na yule wa radio one anaependa suruali za kufungia mabegani yupo wapi? Jina limenitoka kidogo, niliyapenda sana mahojiano yake radio one
Kwenye list yako sijamwona Salama Mfamao! Ushamsahau au yuko bench?Umenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
Mzee David wakati pia umemsahau, haya kule kanda ya Tabora kulikuwa na BenKiko unamkumbuka?Umenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
Omari JongoUmenikumbusha mbali sana hizi sauti zilikuwa ni za dhahabu hebu ngoja tuanze na listi nayoikumbuka ilikuwa lazima ikifika vipindi vyao nitege sikio
Abou liongo-michezo
Ahmed Jongo-mpira
Ahmed kipoza-mpira
Charlz hillary-mpira
Dominic chilambo-mpira
Salum mbonde-mpira
Sulemani hega -michezo
Aloyce maneno-ombi lako
Bakari msulwa-salamu
Bakari kikoloma-enzi za vita vya nduli
Betty mkwasa-mahospitalini
Bujago Izengo wa Kadago
Chriss katembo
Christina chikunogera-ugua pole
Eda sanga
Harid ponela
Jacob tesha-habari
Nyaisanga
Malima nderema
Mohamed ngayoma
Mayoka-mpira
Pascal mayalla-mwana jamvi atajitokeza kuweka uhondo zaidi
Sued mwinyi-mpira
Tumbo risasi -kigoma
Upo dunia gani? Malongo nimesoma nae na kafakiri mwaka juzi, hadi anafariki alikuwa keshaondoka RTD(Now TBC)
poa aise...naskia alifukuzwaga RTD kutokana na ulevi?Upo dunia gani? Malongo nimesoma nae na kafakiri mwaka juzi, hadi anafariki alikuwa keshaondoka RTD(Now TBC)
Aliniambia kafukuzwa, sikuwahi kumuuliza kosa lakepoa aise...naskia alifukuzwaga RTD kutokana na ulevi?
MasakoNa yule wa radio one anaependa suruali za kufungia mabegani yupo wapi? Jina limenitoka kidogo, niliyapenda sana mahojiano yake radio one
Yupo kwake hapo Ubungo msewe jirani na njia ya umeme na bomba la gesi.Habari zenu familia ya JF.
Mtakumbuka miaka ya nyuma haswa miaka ya tisini na elfu mbili alikuwepo mtangazaji na mwandishi Jacob Tesha.
Aliwahi kutangaza Radio Tanzania yaani RTD na baadae kuwa mwandishi wa waziri mkuu Sumaye. Sijamsikia siku nyingi na sijui chanzo cha ukmya wake.
Mwenye kujua yupo wapi atujuze.
Malongo alisha rest in peace.pia wako wapi kina Ezekiel Malongo aliyekua mtangazaji wa mpira?? na Swedi Mwinyi,Shabani Kisu?
Yupo kwake Mbagala DSMNa yule wa radio one anaependa suruali za kufungia mabegani yupo wapi? Jina limenitoka kidogo, niliyapenda sana mahojiano yake radio one
Jiran na kinda care,unamfahamu Seba?Jibu sahihi kutoka kwa mtu sahihi hili hapa:
Mzee Jacob Tesha alishastaafu kazi ya Uandishi na Utangazaji na hivi sasa ametulia kwake hapa Ubungo Msewe.
Kama mnapajua Msewe Chinatown Pub (achana na Connection, kwa chini yake sasa).
Hiyo Chinatown Pub ni sehemu ya Eneo la nyumba yake pale...
Mimi naongea kama ex-Mpangaji wake (maaana ana nyumba kwa chini pale (Nyuma ya hiyo Pub) anapangisha wanafunzi wa UDSM.
Nimehama pale Mwaka jana, na juzi nimepita nimemkuta anajipoza na Bia bariiidi...
Sema mzee Mswahili sana.. Maji anatulipisha 10,000 kwa mwezi halafu anafungulia mara mbili tu kwa week... Ndio sababu ya mie kuhama pale kwake..
Hivo Basi... Mzee Tesha yupo kwake Ubungo Msewe Chinatown Pub.
Mshikaji mmoja ni mwalimu alipanga hpo kwa tesha amejenga hpo.Seba ndio nani...