Yupo wapi Makongoro Nyerere kada wa CCM?

Yupo wapi Makongoro Nyerere kada wa CCM?

Naipenda sana Familia ya Baba wa Taifa! Wengi wao wanakaa mule mule na familia zao! Safi sana kama wahindi! Inaongeza umoja!!
 
UOTE="Lambardi, post: 15832063, member: 9121"]Naipenda sana Familia ya Baba wa Taifa! Wengi wao wanakaa mule mule na familia zao! Safi sana kama wahindi! Inaongeza umoja!![/QUOTE]
Ni jambo la kuigwa maana hawa siku hizi mtu mmoja mijumba500
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Hahahaha malaika mlinzi.... Si useme yupo matingasi
 
Kumwongea mtu kusiwe sababu ya kukoseana adabu make naona wengine tayari na matusi yanawatoka. Tuzingatie matumizi ya lugha za stahà.
 
Subiri Magu apewe uenyekiti ndo utaona anapewa cheo chamani
Wakati JPM anakula pale airport Mwanza nilichungulia kwenye note book yake kulikuwa na andiko hili;
'Makamo m/kiti CCM - Makongoro Nyerere' ikafutwa ikaandikwa 'Naibu katibu mkuu bara' ikapigwa kalamu tena ikaandikwa 'Katibu mkuu'
Sikujua maana yake.
 
Ali
Nimeshtushwa Na ukimya wa Kada maarufu wa CCM aliyeipigania CCM Kwa nguvu zake zote mpaka akadiriki kukufuru Kwa kuwabeza Na kuwatukana matusi wanasiasi wenzake akiwemo Mzee Steven Wassira aliyeshindwa ubunge Na Binti Bulaya kama haitoshi akamtukana Kamanda Mzee Lowassa.

Tunaomba ajitokeze huko mafichoni azungumzie hata haya MAJIPU yanayotumbuliwa au kachukia ule mchujo wa kumpata mgombea wa CCM ulioendeshwa Kule Dodoma?
Alijua atatumia umaarufu wa mzee ili watanzania wamwamini
 
Back
Top Bottom