mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,253
- Thread starter
- #41
Kijana makongolo Kwa Toto's ni balaa haogopi Kufa akiwa Na uzito wa unyoya?
Broo unaandika kwa fasihi kali sana watoto waliosoma shule za kata hawakuelewi wanaishia kukuona umechanganyikiwa. Ni vyema ukalegeza kidogo.Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Hahahaha! Skanoo babaNitamtafuta Makongoro baadae aje kujibu. Lakini leo Jumamosi sidhani kama atakuwa sober.
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Hahahaa endrew nawe humpendi kaka yakoMakongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Hahahaaaaaa malaika mlinzi tena .Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Lakini mimi nilimpongeza sana Makongoro kwa juhudi zake,pamoja na wenzake za kumshinda Lowassa,kwa sababu it was imperative kumshinda Lowassa in a fair fight,in the boxing ring,na CCM wamefanya hilo,which is good,sio kama haya madudu waliyofanya Zanzibar. Ilikuwepo temptation kumuondoa Lowassa kwa technicality,au kumuweka kizuizini. Lakini CCM ilifanya uamuzi mgumu;afasali kushindwa kuliko kuiba kura;uamuzi mgumu ambao ulifanya CCM igawanyike A na B.
Unataka Makongoro naye pia aendeleze kale katabia kama ka Lowassa ka kujisemesha semesha kama vile kampeni hazijaisha.Nimeshtushwa Na ukimya wa Kada maarufu wa CCM aliyeipigania CCM Kwa nguvu zake zote mpaka akadiriki kukufuru Kwa kuwabeza Na kuwatukana matusi wanasiasi wenzake akiwemo Mzee Steven Wassira aliyeshindwa ubunge Na Binti Bulaya kama haitoshi akamtukana Kamanda Mzee Lowassa.
Tunaomba ajitokeze huko mafichoni azungumzie hata haya MAJIPU yanayotumbuliwa au kachukia ule mchujo wa kumpata mgombea wa CCM ulioendeshwa Kule Dodoma?
yaani Magu achukue ushauri wa mama Nyerere hicho ni kiroja cha mwaka kwani huyu mama kaisha poteza kumbukumbu ukimuuliza mambo ya azimio la arusha anakujibu mapinduzi ya mwaka 1964,namuheshimu huyu mama lakini naamini mtu ukikua unarudi utoto mama hana kumbukumbu kabisa sasa atamshauri nini maguSiku nyingine kama huna uhakika wa jambo ni vyema tu ukauchuna kuliko kukurupuka kwani utazidi kudharaulika. Kwa kukusaidia tu ni kwamba THINK TANKS wa Rais wako sasa ni wale wazee mahiri waliokuwa wasaidizi wa karibu wa Mwalimu Nyerere ( siwezi kuwataja majina kwa umuhimu na unyeti wao ) na wakisaidiana na Kiongozi wako mmoja mstaafu na baadhi ya watu aliokuwa nao. Hakuna mtu ambaye Rais wako haipiti siku lazima amjulie hali au hata aombe kuonana nae kama Mama Maria Nyerere na Rais wako anamuheshimu huyu Mama kama ambavyo anamuheshimu Mama yake na hata ushauri pia huomba kutoka kwake kisha unafanyiwa kazi na Wataalam. Kuna mengine ngoja niyamezee tu mate kwani yamekaa KIITIFAKI zaidi na jamaa karudi jana tu kutoka huku kwetu Kigali. Huyo Makongoro kuna kazi MAALUM na yeye atapewa na ukimya wake ni wa KIMKAKATI zaidi kutoka " eagle wing house ". Naomba niishie hapa niwahi zangu sasa kumshangilia Mwarabu leo taifa!
Nimeshtushwa Na ukimya wa Kada maarufu wa CCM aliyeipigania CCM Kwa nguvu zake zote mpaka akadiriki kukufuru Kwa kuwabeza Na kuwatukana matusi wanasiasi wenzake akiwemo Mzee Steven Wassira aliyeshindwa ubunge Na Binti Bulaya kama haitoshi akamtukana Kamanda Mzee Lowassa.
Tunaomba ajitokeze huko mafichoni azungumzie hata haya MAJIPU yanayotumbuliwa au kachukia ule mchujo wa kumpata mgombea wa CCM ulioendeshwa Kule Dodoma?
bora umeweka wazi kua ccm ilishinda kwa haki. Asante.Lakini mimi nilimpongeza sana Makongoro kwa juhudi zake,pamoja na wenzake za kumshinda Lowassa,kwa sababu it was imperative kumshinda Lowassa in a fair fight,in the boxing ring,na CCM wamefanya hilo,which is good,sio kama haya madudu waliyofanya Zanzibar. Ilikuwepo temptation kumuondoa Lowassa kwa technicality,au kumuweka kizuizini. Lakini CCM ilifanya uamuzi mgumu;afasali kushindwa kuliko kuiba kura;uamuzi mgumu ambao ulifanya CCM igawanyike A na B.