Yupo wapi James Mbatia ukimya wake unaleta sintofahamu

Yupo wapi James Mbatia ukimya wake unaleta sintofahamu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,575
Reaction score
31,013
Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media.

Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa bungeni na wasiojitambua angekuwa kawapa vidonge vyao ila no any information about him

Je, yu Wapi Mbatia wana NCCR Mageuzi njooni mtupe majibu tafadhari Mbatia sio Mali yenu ni mali ya Watanzania
 
Kaamua kutulia ale maisha yake vizuri uzeeni..kuitisha press conference Kila mwezi na kuwaelezea mazombie kuwa watawala wao hawafai alafu wanakutazama tu,ni kazi ambayo inachosha....
 
Ni muda sasa sijamsikia mtaalamu wa mambo ya Elimu Ndugu James Mbatia .

Anayejua yupo wapi, anafanya nini atujuze.
 
Ameuelewa mfumo wa nchi unavyokwenda, remaining silence is a stronger weapon than any thing
 
Back
Top Bottom