Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,981
- 64,006
Hao easy ngumu ni ya Ommy GFlow ya D knob, na flow ya Jose Mtambo, huwezi kuiga!
Hao easy ngumu ni ya Ommy GFlow ya D knob, na flow ya Jose Mtambo, huwezi kuiga!
"Nasonga ki stimu na ndoto kede"Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k
Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account
View attachment 2014601
Mpuuzi wewe unaleta habari za wasanii wa juzi. Huyu ni mkongwe enzi za mkoloni wagosi wa kaya ambapo hapakuwa na habari za mabaunsa. Kama vp kausha hujui kituWatu hawa ni wajinga.
Wakishakuwa na kaumaarufu kidogo waajiri mabaunsa wa kuwalinda wakati hakuna mtu mwenye muda nao.
Ni wajinga
Amezeeka saivi. Namwonaga pale grand nolasko anafanya shoo mpaka za bia nne. Roho inaniumaga sanaJose Mtambo wa Kigambonino. Yuko kigamboni huko
Nafikiria makubwa,Amezeeka saivi. Namwonaga pale grand nolasko anafanya shoo mpaka za bia nne. Roho inaniumaga sana
Bora tumeachananamkubali sana,anadai demu wake haku enjoy alimpomkwea so ikabidi waachane, hiyo ngoma sikumbuki inaitwaje
the guy is in deed talented
Very Talented fella a.k.a mr sahani,Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k
Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account
View attachment 2014601
Wasanii wa bongo nao nani anawawinda?huyu jamaa sio wa era ya ma baunsa,jamaa wa kitambo sana,ila pia msanii kuwa na walinzi sio mbaya maana wanawindwa
Mwamba ulimchukulia mpenzi wake siku moja ,akamwambia leo tukafunge ndo,hakuna cha maandalizi Wala nini,na ndugu zake akawapigia simu ,akawajulisha anafunga ndoa siku hiyo,baada ya ndoa akawachukua washikaji zake kama watatu wakaenda bar kunywa,hana bwembweMwamba ameokoka sa hizi anamjua yesu
Inaitwa #BoraKuachana Yuko na Seif Shaban a.k.a Matonya producer akiwa Ni Villnamkubali sana,anadai demu wake haku enjoy alimpomkwea so ikabidi waachane, hiyo ngoma sikumbuki inaitwaje
the guy is in deed talented
Namkubali sana huyu mwambaJamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k
Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account
View attachment 2014601
We naye unakurupuka hujui unachoongea.Watu hawa ni wajinga.
Wakishakuwa na kaumaarufu kidogo waajiri mabaunsa wa kuwalinda wakati hakuna mtu mwenye muda nao.
Ni wajinga
Jose Mtambo mtoto wa kipare ana msongo sana wa mawazo. Inasikitisha sana. Ukienda mitaa ya Machava utamkuta. Anatia huruma.Mano likwelikwe.
Anapiga mishe gani nowdays?
Ilikuwa Bill's hyo kabla ya kuvunjwa,alienda siku ya kwanza Pastor kamwabia lazma mpate mafundisho kabla ya ndoa,hyo ndio ilifanya ndoa isifungwe kwa siku hyo hivyo akarudi na kuanza mafunzo na hapo ndipo mshua wake alipopewa taarifa akamwambia endelea na ulichokifikiria.Mwamba ulimchukulia mpenzi wake siku moja ,akamwambia leo tukafunge ndo,hakuna cha maandalizi Wala nini,na ndugu zake akawapigia simu ,akawajulisha anafunga ndoa siku hiyo,baada ya ndoa akawachukua washikaji zake kama watatu wakaenda bar kunywa,hana bwembwe
AiseeIlikuwa Bill's hyo kabla ya kuvunjwa,alienda siku ya kwanza Pastor kamwabia lazma mpate mafundisho kabla ya ndoa,hyo ndio ilifanya ndoa isifungwe kwa siku hyo hivyo akarudi na kuanza mafunzo na hapo ndipo mshua wake alipopewa taarifa akamwambia endelea na ulichokifikiria.
Innocent Sahani a.k.a Dirty Knob kufupisha muite D knob kutoka FDC (Free Dog's Camp)
Cc Pig Black,Ommy G(gangster)
Kigambo anakula Gongo tuJose Mtambo mtoto wa kipare ana msongo sana wa mawazo. Inasikitisha sana. Ukienda mitaa ya Machava utamkuta. Anatia huruma.
D Knob hajawahi kuwa FDC, ni mtoto wa kiwalani kama hao FDC ambao ni Pig Black, Ommy G na Nalenale.Ilikuwa Bill's hyo kabla ya kuvunjwa,alienda siku ya kwanza Pastor kamwabia lazma mpate mafundisho kabla ya ndoa,hyo ndio ilifanya ndoa isifungwe kwa siku hyo hivyo akarudi na kuanza mafunzo na hapo ndipo mshua wake alipopewa taarifa akamwambia endelea na ulichokifikiria.
Innocent Sahani a.k.a Dirty Knob kufupisha muite D knob kutoka FDC (Free Dog's Camp)
Cc Pig Black,Ommy G(gangster)
Siku hizi si kuna double kick au K-Vant? bado kuna mtu smart anakunywa gongo?Kigambo anakula Gongo tu