Yupo wapi huyu SPARK msanii aliyetamba na nyimbo yake ya USINIACHE?

Anapiga sho machaka ya kenge mwaka juz nilikuwa job chaka moja la adabu nimetoka camp kwenda kweny ka senta uchwara uko bush ghafla nakuta yupo juu ya fuso wanatangaza atakuwa na show kweny baa sikucheka nilichukia kuona kipaji kama kile kinapotea kizembe nikajiuliza hivi hawa wasanii wa 2000 mpak 2010 walishindwa vip Ku maintain kweny game wakati wanavipaji vikubwa kushinda hawa wa siku hizi
Ulozi wa mameneja, gombana na tal_ au mkubwa fel uone kama utatudumu kwenye gemu, mondi mwenyewe pamoja na ukubwa wake lakn kwa hao wwl kaufyata
 
Anapiga sho machaka ya kenge mwaka juz nilikuwa job chaka moja la adabu nimetoka camp kwenda kweny ka senta uchwara uko bush ghafla nakuta yupo juu ya fuso wanatangaza atakuwa na show kweny baa sikucheka nilichukia kuona kipaji kama kile kinapotea kizembe nikajiuliza hivi hawa wasanii wa 2000 mpak 2010 walishindwa vip Ku maintain kweny game wakati wanavipaji vikubwa kushinda hawa wa siku hizi
Itakuwa mlima njiwa
 
Back
Top Bottom