Yupo CHITCHAT na nimempenda...Tegua kitendawili

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,154
Nimempenda sana huyu binti/mama. Simjui hanijui.............ukiniuliza kwa nini sina sababu.

Ukiniuliza umempenda kimapenzi nitakujibu "sina hakika"....ukiniambia unampenda kama dada yako nitajibu "Wewe wasema"..............Basi tu yupo moyoni. Naanza kuwapa wasifu wake angalau unaoonekana JF:

1. Mcheshi kwenye maandishi yake ila si sana
2. Anapita sana chitchat na ni mdau mzuri tu
3. Ni kama alishawahi kuumizwa kwa kuporwa mchumba lakini mvumilivu
4. Hujibu hoja kwa kifupi lakini kwa namna ya kuvutia
5. Kuna mjamaa hapa JF anammendea lakini hajafanikiwa
6. Ndio ni binti/mama mzuri tu lakini inaonekana akikukamata kwenye anga zake itabidi ubadilishe ATM card kwa sababu itachakaa mapema.

Nawaachia kitendawili wana CHITCHAT mkitegue: Najua vizuri kuna wadada wengi tu hapa kama Mwali, Mamdenyi, Preta, sweetlady, Kongosho (? ), Erotica, CUTE,
@chamingdly, @canatalisia......................na kadhalika, lakini sisemi yumo humo au hayumo!!!
 
Last edited by a moderator:

mmmhhhh kila la kheli na mafeeling yako ciaooo!!!...
 
Last edited by a moderator:
Wadau hapa mnisamehe kidogo nisisomeke nnachakachua Thrade ya Mhe. Huyu, naomba tu kama kuna member ana kitabu kiitwacho "Bubu husema mambo yamzidiapo" nakihitaji sana mwenye nacho aniazime jamani!
 
platozoom namba 6 nimecheka sana lol.......huyo atakuwa ni naniliiiiiiii tu
weka dau nimtaje na nikipatia usinirushe!
 
Acha uchokozi!!
 
platozoom namba 6 nimecheka sana lol.......huyo atakuwa ni naniliiiiiiii tu
weka dau nimtaje na nikipatia usinirushe!
sweetlady Hapohapo kwenye namba sita ndipo pananikatisha tamaa...hebu mseme tafazalo......Ila wengine bwana wanakuwaga wakali.Tafadhali una wigi la helmet................Halafu bado nikuulize umejuaje si wewe?
 
Last edited by a moderator:
sweetlady Hapohapo kwenye namba sita ndipo pananikatisha tamaa...hebu mseme tafazalo......Ila wengine bwana wanakuwaga wakali.Tafadhali una wigi la helmet................Halafu bado nikuulize umejuaje si wewe?

Hahahahaha......wigi la helmet la kazi gani?.......hehehehe ngoja niendelee kujikagua kama ni mimi lol
 
Back
Top Bottom