Kijana mmoja alikuwa na msichana alivyokuwa kidato cha tano, yule msichana akahama shule, alivyofika form six akapata mwingine palepale shuleni, akamaliza akaenda kwao.
Wote wawili akiendelea kuwasiliana nao, nyumbani akapata mwingine, matokeo yakatoka akaenda chuoni akapata mwanamke mwingine huko pia. Siku moja akafikiria kuwa alikuwa anahitaji kuoa na wote wanne ana mawasiliano nao.
Je, atamuoa nani?