Yupi kapendeza zaidi na amekuvutia?

Yupi kapendeza zaidi na amekuvutia?

Ngoja nifanye mchakato na kipenz changu Eshy m.s tutafute walau mmoja wa fastafasta


fanya mchakato bana Mndengereko muda ndio huu aise upate hata wa kwako uione sura yako bana
heri mpaka kumpata wa ukweli,sasa nikikurupuka si itakuwa balaa,mtoto atabakaki njia panda


Mchakato uanze mapema bana usije chelewa sana Viol na hilo ndio la kumuomba Mungu upate mtu ambaye atakulelea watoto wako kwa furaha na ucha Mungu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo Picha Ya Tatu Nimeipenda Ambapo Dogo Anakula Denda Kiaina! ILA Na Siku Nyingine Utuwekee Na Picha Za Aina Ya Mimea au Mazao Ya Kilimo Tufaidike Zaidi.
 
Wote wako vizuri mno Mungu awabariki wakikua wavae mavazi ya heshima. Ngoja niende Kuswali kwanza leo Ijumaa

Khantwe mimi naenda kuswali mara moja nitarudi baadae kama una sadaka nitumie kwa tigopesa au mpesa nikakuwakilishe
 
Last edited by a moderator:
Ingawa ni wote kuanzia picha 1-22 ila kwa sasa ngoja niwape kura hawa wawili







10534610_377049672450172_382659787562993923_n.jpg


Huyu hapa































10311161_323737074448099_1752562113635515432_n.jpg

Na huyu
 
Viol, at least I have seen something different today,lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom