Yup kat ya hawa unaweza kuish nae

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
WanaJF niaje ninaiman kuwa hawa wote wapo ndan ya jamii inayo2zunguka kila cku. Ila ukipewa nafas ya wewe kuchakua yup kat ya hawa unaweza ukaona anaafadhar kuish nae na kwanini unaona anaafadhari kat ya hawa MZUSHI,MMBEYA na MNAFIKI? Na yup ni mbaya zaid ya wenzake?
 
mbea ni rahisi zaidi kwasababu kumjua ni rahisi na nirahisi kumnyima umbea, humwambii mambo yako.
 
bora mbeya kwa sababu yeye hazushi maneno ila anaongea yaliyo ya kweli bila idhini ya kuyaongea,hao wengine kazi kwelikweli:rain:
 
bora mbeya kwa sababu yeye hazushi maneno ila anaongea yaliyo ya kweli bila idhini ya kuyaongea,hao wengine kazi kwelikweli:rain:

Nimeipenda hiyo explanation, kumbe mbeya ni mkweli!:rain:
 
hlo lote ni neno moja tu ila limegawanyishwa!wte wana tabia moja!
 
mmbea we msikilize usimjibu kitu,na wala usimuambie kitu wewe muache achonge huku unamuongezea kinywaji tu,tumbo likimjaa ataondoka zake
 
Back
Top Bottom