hahahahah hata kama Asprin
Tutapambana kwa hali na mali kujua nani ni nani
Yummy my wife nakupendaga sana na nakulike sana Asprin anataka kuvunja ndoa yetu na huyo kidudu mtu KARIA aliyekuja bila speed anataka kuleta vita DaJane achana nae yule ile no nyingine maana kwa matusi ni balaa aise
Lakini sio mimi darling......hao hawajafundwa ndo maana na hasa itakua ni kilio cha mkosaji.
mmhhhh mbona hawa miandiko yao inafanana?? think hubby stuka!
Hi love The secretary,hebu cheki kwenye friza kama prawns na lobsters bado zipo. Na ile christal champain angalia zimebakia chupa ngapi. Ka vipi chukua vogue uje uni pick Serena ndo namalizia kikao.