Bei ya kipande faida fund sasa yafika 111

lui03152

JF-Expert Member
Nov 27, 2020
250
338
Baada ya mwaka kukamilika tangu mfuko huu kuanzishwa na bei ikiwa 100 tu kwa kipande enzi hizo, hii leo 2024 kipande kinauzwa kwa tsh 111.

Hii ina maana kwa mtu aliyeweka 50mil wakati huo leo anavuna 5.5m wakati huohuo mtaji wake wa 50m uko palepale...tuchangamkie hii fursa jamani.
View attachment 2946102
 
Mmmh

emu dadavua kidogo, unaposema "kipande" unamaanisha nini? Na hayo mavuno ni kwa siku au kwa mwezi au mwaka?
 
Kwahiyo milioni 50 inakuzalishia milioni 5.5 kwa mwaka mzima na unajisifu kabisa.

Yaani milioni 50 inakuzalishia laki 4 na elfu 58 kwa mwezi na uko proud kabisa mkuu.
 
Kwa mtazamo wa kinuwekezaji ni big profit, kumbuka hapo sijatumia muda wala nguvu kuzalisha faida.
 
Baada ya mwaka kukamilika tangu mfuko huu kuanzishwa na bei ikiwa 100 tu kwa kipande enzi hizo, hii leo 2024 kipande kinauzwa kwa tsh 111.

Hii ina maana kwa mtu aliyeweka 50mil wakati huo leo anavuna 5.5m wakati huohuo mtaji wake wa 50m uko palepale...tuchangamkie hii fursa jamani.
Ni mfuko Gani Huu Mkuu
 
Back
Top Bottom