cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
ipi itakuwa effective?? nichagulie, lolest! wacha nijiandae, kumbe leo wanitoa ee??Na si unajua tena nikikuumiza na mimi naumia pia? Hebu jiandae leo nikutoe. Unatumia Dodoma wine au Amarula?
ipi itakuwa effective?? nichagulie, lolest! wacha nijiandae, kumbe leo wanitoa ee??Na si unajua tena nikikuumiza na mimi naumia pia? Hebu jiandae leo nikutoe. Unatumia Dodoma wine au Amarula?
Nshazoea biriani lake bana. Tafuta mwingine nikusaidie kutongoza.
Nshazoea biriani lake bana. Tafuta mwingine nikusaidie kutongoza.
Mi naona upige Dom wine wakati mi namalizia manyagi na maginesiipi itakuwa effective?? nichagulie, lolest! wacha nijiandae, kumbe leo wanitoa ee??
sasa hivi hana ujanja, akili zake nimezikomazaaaa ka nazi za msibani! hawezi nigeuka akaoa tena, akifanya hivyo ataniumiza sana na anajua hilo! lol
Na wewe hapa ulikuwa unamsubiri nani?Hahahaha!ukimjulia tu babu kwisha habari yake hata kupumua itakua mpaka mruhusu hahaha!
nipo mke mdogo, nimekuja kuthibitisha hapa! Cantalisia umesikia?? na huyo Yummy akichukuliwa sasa 4some itakuwaje jamani jamani?
Stuka Cantalisia, THINK!!Hahahaha!yan babu Asprin mpaka ushikiwe miguu hahaha!kweli cku hizi umezeeka hahaha!
Na wewe hapa ulikuwa unamsubiri nani?
Vipi mbona siku hizi umebadilika? Hebu kam zis way nikukague kwanza