Yule nabii elisha wa dodoma amtia mimba mwanafunzi

Yule nabii elisha wa dodoma amtia mimba mwanafunzi

Superboy

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
45
Reaction score
6
Haya sasa; kuna habari hapa mjini dodoma yakwamba yule nabii anayefanya shughuli zake za kinabii maeneo ya jamatini karibu na stendi ya daladala, kamtia mimba mwanafunzi. Nikipata mda mzuri nitawapa mchanyato mzima
 
kuna uchizi nauona kabisa kwenye huu unabii baina ya wanaoamini na wanaojiita.
 
Sasa si ungesubiri upate muda kwanza ulete habari kamili kuliko hii ya sasa...
Unaturusha roho wengine
 
Unamaanisha yule mtumishi elisha kimweri aliyemaliza cbe dom ama? Ebu lete habari kamili mkuu
 
Back
Top Bottom