nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,074
- 15,165
Ambaye baba yake alipoteza maisha siku kama ya leo.
Ana umri wa kama miaka 4 hivi kwa sasa.
Ndugu zake hawajulikani.
Mama yake nae alifariki katika majambo haya haya na wala wote hawakuwa wahusika kwa namna yeyote ile.
Kila ninapopita kwenye kile ki ''short kati'' na kumuona roho yangu inaugua kwa uchungu mkuu.
Mwalimu aliyeamua kumsaidia ni wa shule ya chekechea.....maisha yake kama yetu tu.
Tunatamani kuchangia japo ya sabuni lakini kama mjuavyo hali si hali.
lakini bado nina imani ya kwamba .....
MUNGU NI MUNGU WA HAKI.