Yule mke wa kachero wa TANAPA...

Tanzania na mali hasili_ huyo anajua wezi na majingili wote wanaoua Tembo na faru....wamemua kuogopa kitanzi cha mzee wa hapa kazi tu aingii akilini house Boy aue kwa 5 mil.
 
Junior ni wewe kweli au??????????????????????? unanichekesha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya unampa njia mbadala ya kumuangamiza mumew????????????????????




JUIOR.CUX.... WEWE LZM NI MUPALESTINA aka MUMACHAME. Ti ti ti...

Sasa jamani kufa kwa kuchapwa mapanga au softly kwa uji bora kipi... maana hapa watu walikua washadhamilia kuua issue ni jinsi gani ya kufanya
 
lakini kwa huo uzi. NDUGU ZETU WA MACHAME MNATAKIWA KUBADILIKA. INGAWA WANAUME NI WATU POA SANA.KINA MAMA MJIREKEBISHE.
 
Sasa kama huyo mtuhumiwa alikuwa haishi na mmewe then alijuaje mmewe kapotea mpaka aende polisi kuripoti ndani ya muda mfupi kiasi hicho?(ndani ya saa kadhaa tu)Je walitengana kwa ugomvi au sababu nyinginezo?Wana muda gani toka waanze kutokuishi pamoja?Kama alikuwa haishi hapo na mmewe kitambo then funguo za akiba za gari yeye alijuaje zinapowekwa? BTW:Kama huyo mother kahusika atakuwa mbumbumbu kweli maanake hiyo 5M bora angetafuta outsiders wazoefu wafanye yao.Kafa kifo cha mateso sana huyo mshua.Dah!!!
 
Una habari kuwa marehemu alikuwa aishi na mke wake hapo nyumbani? Kwenye red wacha sifa za kijinga unahisi ni wewe mwenyewe mwanasheria.

Mkuu manuu...

kuwa mwelewa basi, Mke wake ndiye aliyekwenda polisi kutoa taarifa kwamba hajamuona mumewe nyumbani toka alipoondoka na mumewe alikuwa asafiri kwenda kwenye matibabu India na mkewe ndiye aliyeleta ufunguo wa akiba wa gari kwa polisi ili kufungua buti ya gari.....

sasa kama alikuwa haishi naye nyumbani alijuaje kwamba mumewe alikuwa hajaonekana nyumbani toka juzi?

ilikuwaje aulete ufunguo wa akiba wa gari lao kwa polisi?


sio kwamba najisifia kwamba mm ni mwanasheria nooo, twende kwenye hoja ya msingi kaka.
 

upo aiseeee!
 


Mkuu Heshima kwako...

Kwanza, tukianza kujadili kwamba mke kaua, Je, wanawake wanaua ili iweje?? Jibu ni warithi mali... Sasa swali linalofata huyo Marehemu alikuwa na pesa ya kumfanya mkewe mpaka aweke bond ya Million 5 kwa muuaji?? Tena Million 4 ikatanguliziwa kabisa.. Kwa nionavyo marehemu alikuwa si tajiri kiivyo mpaka mkewe atoe pesa yote hiyo kwa muuaji..

Hapa lazima kuna a third part iliyohusika na mauaji.. Labda mkewe naye alitumika kama chombo tu, ila wauaji ni wengine na hata hiyo Million 5 ilitolewa na hao ambao wako behind the scenes...

Pili, yawezekana ni House Boy ndiye kacheza dili na mke wakam'set off kwa house boy kuhaidiwa hata akifungwa wanaweza fanya kila hali atoroshwe gerezani na kutafutiwa makazi mapya, hawa watu waliomuua hawashindwi kumpa zaidi ya Million 30 hii ishu ikiisha salama then wakamtafutia makazi hata Kenya..

Tatu, hiyo gari ilitelekezwa na maiti maeneo ya Njiro... Je, nani aliiendesha mpaka huko Njiro?? Wameangalia Finger Print kwenye usukani wa gari?? Hizo nguo walizodekia damu zimechunguzwa kuona nani alizitumia kudekia?? Au sie uchunguzi wetu ni wa kiimani tu na kihisia??

Kazi ipo, bado siamini ni mke kaua kwa kutaka yeye bila watu nyuma yake.. Hii ni kama mke kweli kahusika na mauaji..
 
Anaweza kuwa mhusika maana kama unajua mmeo ni mtumishi tena wa usalama na amekuaga anaenda kazn halafu unaenda kutoa tasrifa kituoni ni kuonesha ana hofu ya jambo fulani.
 
Hapo Kuna kitu nyuma yake. House boy ni Dereva? Na je nyumbani kulikuwa na house boy peke yake? La msingi ufanyike uchunguzi wa kina na kitaalam
 
Hakuna kiumbe ninachoogopa duniani kama MWANAMKE,tena akiwa wa zile sehemu za wakatili ndio kabisaa.

ACHA TU TUSIOE MAPEMA KABISA.
 
Kuna Issue nzito hapa inaweza ikawa mazeri anahusika,Shamba boy au Wazee wenyewe wa nchi.
 
Mauaji yako wazi tu. Mengine ni porojo za kusubiri lunch. Lunch ya luncher lunchi lunched by luncher lunching the luncher lunch.
 
Hivi nyumbani kwa boss mkubwa hivyo hakukuwa na camera ndani iliyorecord matukio?
 
Huyo atakuwa mmachame orijinali, aka Le Mupalestinazz...

ni kweli ni mchaga kwa asili ya aliyemzaa ila anatumia jina la kimasai coz mama yake aliolewa akiwa naye na kama ujuavyo wamasai hawakatai watoto akampokea na kumfanya mwanae wa kwanza. Aisee hawakujipanga kbs hata hizo nguo wangechoma mybe... mtu masaa machache haijapita hata 24hrs unawahi polisi... mahali damu ilipomwagika hata pakidekiwa panaacha alama flani iweje hakuiona? Likizo hii watoto hawakuwepo au walitumwa wote? h/grl hakuna nyumba hiyo? Aisee mtu mwenyewe unit zake zilibk chachee ni wakuhudhuria kwa kina keemchoo kutibiwa si angemuacha tu??? By z way itamkost maana kakosa lbd kama kwa masaa hayo alishajihamishia kila doc kwa jina lake. Yeuwiii huyo h/boy atafurahiii akitoka huko kiberiti 5000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…