Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Miaka yote mlisubiri nini msimpeleke Mahakamani? Mahakama ya mafisadi ipo wapi tuone kama ataenda Freeman Mbowe amewatajia mafisadi papa 3 juzi ndio kwanza wanapishana magogoni kama bata na maji
Tatizo lako mwanahabari ni kwamba unakariri kila kitu unachokisikia. Aliyeko CCM ni mchafu aliyeko CHADEMA ni msafi, maisha halisi hayafanani na fikra zako. Wanasiasa ni wale wale tu, hawa wa CHADEMA ambao leo unawaona kama vile ni watakatifu, walikuwa wanasafiri pamoja na wale wa CCM, wanaenda nje ya nchi, wanakaa miezi wakiwa pamoja halafu wakirudi bungeni wanaanza kuziteka akili zako, na wewe bila ya kujiuliza kwa undani unadanganyika jumla jumla. Msigwa aligombana na Kasesela, lakini kesho yake wote wawili wanapiga picha wakiwa wamevalia masuti mazuri wakikumbatiana kama marafiki wa siku nyingi. Freeman Mbowe, Edward Lowassa, Fredrick Sumaye, John Magufuli na wengine wenye dhamana kubwa unaowajua wewe, ni marafiki wa karibu sana, hawana muda wa uhasama. Nakwambia yote haya ili uweze kukua kifikra, ili usidanganywe na siasa za majukwaani.
 
Sasa wewe unayedanganyika na siasa za tv na magazeti zikisaidiana na siasa za kushtukiza huzioni
 
Mnapaswa mbadilike
Teteeni wasafi ili mpate kuungwa Mkono vyema
Ketetea kina Lowassa mnatwanga maji kwenye kinu
Lowassa kamwe hawezi kwenda IKULU hata iweje nonono
 
Sasa wewe unayedanganyika na siasa za tv na magazeti zikisaidiana na siasa za kushtukiza huzioni
Sidanganyiki na chochote na kusaidia wewe ambaye bado umenasa kwenye fikra za uhasama wakati wanasiasa siku zote wanaangalia maslahi yao halafu maisha yanaendelea kama hakuna lililotokea.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mkuu bila LOWASA raisi angekuwa MEMBE kamwe MAGUFULULI hawezi mgusa mzee Jk nae ana jua bila Lowasa raisi angekuwa Salmini Lowasa jembe bwana.Akiwa ndani ya ccm alipendwa alipo hama ikawa mahaba nje ya ccm
Mkuu ukiitaza kwa haraka unaweza kusema ni kweli, ila ukienda kwa jicho la 7, utagundua kuwa kila jambo linapotokea linasabab zake, leo hii huwezi kusema kuwa bila fisadi edo, chadema isingekuwa na wabunge walipo, cjui kama unaweza kuwa na nguvu hyo

Ila kinachotokea mambo hupagwa na MUNGU(kama unaamini uwepo wa MUNGU) hivyo ufisadi wa edo ndiyo uliinyima fursa cdm kuwa chama kinachopinga ufisasi,

Na zaidi kwa sasa chama kimekosa mvuto tena, hakina kiki, kimebaki kwenda kupiga magoti kwa fisadi mikochen kikiacha ufipa upweke..

Rais magufuri ni mpango wa Mungu, asum kama tungekuwa na fisadi edo sa ivi nchi ingekuwaje? Si engekuwa kama genge la wahun, kama nafasi 1tu ya katibu mkuu imewashinda kuijaza, je hyo serikali mgeweza kweli?

Kwenden ufipa na siasa zenu za kikabila...
 
Sidanganyiki na chochote na kusaidia wewe ambaye bado umenasa kwenye fikra za uhasama wakati wanasiasa siku zote wanaangalia maslahi yao halafu maisha yanaendelea kama hakuna lililotokea.
Siongei huwasama natetea maisha ya Mtanzana ambae anaumia na maisha mabaya ambayo ccm ndio kimemfikisha hapo
 
Mkuu ukiitaza kwa haraka unaweza kusema ni kweli, ila ukienda kwa jicho la 7, utagundua kuwa kila jambo linapotokea linasabab zake, leo hii huwezi kusema kuwa bila fisadi edo, chadema isingekuwa na wabunge walipo, cjui kama unaweza kuwa na nguvu hyo

Ila kinachotokea mambo hupagwa na MUNGU(kama unaamini uwepo wa MUNGU) hivyo ufisadi wa edo ndiyo uliinyima fursa cdm kuwa chama kinachopinga ufisasi,

Na zaidi kwa sasa chama kimekosa mvuto tena, hakina kiki, kimebaki kwenda kupiga magoti kwa fisadi mikochen kikiacha ufipa upweke..

Rais magufuri ni mpango wa Mungu, asum kama tungekuwa na fisadi edo sa ivi nchi ingekuwaje? Si engekuwa kama genge la wahun, kama nafasi 1tu ya katibu mkuu imewashinda kuijaza, je hyo serikali mgeweza kweli?

Kwenden ufipa na siasa zenu za kikabila...
Kumfananisha na mpango wa Mungu nikumkosea Mungu sana aliyefanya barabara zilizo fanana na B ig g
 
Hahaha
Jibu na hili
a4920b247950b585ca7345aec5085ab5.jpg

"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Hapa lazima waishie kupanic nakuvurumusha mitusi tu.
 
Siongei huwasama natetea maisha ya Mtanzana ambae anaumia na maisha mabaya ambayo ccm ndio kimemfikisha hapo
Ikiwa unadhani kuwa CCM ndio imemfikisha pabaya mtanzania, tumia nguvu zako zote kumkwamua. Uje na wazo lenye suluhisho na sio kukwamia kwenye mijadala ya Lowassa na Magufuli. Uje na mtazamo wenye kitu mbadala vinginevyo utakuwa unapoteza muda wako bure katika kufikiria mambo ambayo huna mamlaka wala akili zenye ubunifu wa kuyafanikisha.
 
Back
Top Bottom